Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Uko sahihi kabisa mkuu yaani ukikuta mtu anamshambulia Jakaya basi lazima amshambie Mzee Mwinyi vile vile Rais Samia.Mkuu unahangaika bure,
Hawa wenzetu wao wanajua wazuri ni wa kwanza wa tatu na wa tano basi, hao wengine ni wabovu, wakiambiwa wathibitishe wanaleta story za vijiweni sasa kama sio udini ni nini?
Akili kichwani mwako,
Jamaa ni wadini kupita maelezo
Ukiunganisha dots utakuta ni udini tu unawasumbua ambao hautawapeleka popote.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndiye Rais bora kabisa kuwahi kutokea katika Taifa hili tangu nchi iumbwe.
Ni mstaafu ambaye anaweza kutembea mtaani pasipo ulinzi na asiguswe hata na nzi maana ni mtu wa watu ukiachilia hawa haters wachache wasio na sababu za msingi isipokuwa kunuka udini uchwara.