Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Bro,
Kabla ya kuoana wengi wanawaza hivyo, kuoa mfanyakazi msaidiane maisha.
Baada ya ndoa, utaambiwa Mshahara wa mwanamke ni wake, na hutakiwi kuufikiria!
Mimi kuna broo wangu mmoja yeye analalamimka hana hela wakati mke wake ni mfanyakazi na kila kitu analipia broo kodi, watoto shule, chakula..sasa sijui hela ya wife wake inaenda wapi.
 
Acha ubibi wewe, huyo mkeo hata ukimfungia ndani kama akitaka kutiw atatiwa tu.

Mbona ww una wake wawili ati umewafungia ndani wakati kunakuchapia ila tupo kimyaa.
 
😆😁😄😃😀😅🤣😂😂....Unabahati hawakujui, waume za watu wangekuua walahi!😂😂
 
Mwanamke akitaka kuchapwa atachapwa tu hata kama ni mama wa nyumbani. Don't be too negative kwq wanawke w1naofanya kazi, wapo waliotulia na wapo vichche. Kwa dunia inavyoenda itafikia mahali kila mwanamke atatafuta cha kumuingizia kipato.

Acha kuoa kama unaona utachapiwa mkeo.
 
Kuifuatilia mali yako wala haipingiki na lazima aishi kwa namna unavyotdka wewe asipoweza mfungulie mlango asepe. Ukiishi kwa mrengo wa kuelewa aweza ondoka anytime na bado ukabaki na maisha yako utaishi kwa raha mnoo.
 
Kwani hujui ndege wa fananao huruka pamoja mkuu. Ipo hivi huyo mkeo mwajiriwa aliyetulia ana bwana ake hapo ofisini aliyetulia pia na anaye msaidia kazi za ofisini maana nyumbani unamchosha sana
 
100% sahihi..Mwanamke akowa na Nguvu ya Kakipato flani,hakika huwa ni hatari..Ndoa nyingi zilizo imara ni za Wale amabo wake zao Wameishia Darasa la 7...hao hutulia na kuheshim waume zao.ila hawa sasa ambao Wameanza kugongwa kuanzia secondary ,high school,mpka chuo hakika sio wa kuwaamini..kwanza wana Body Count kubwa sana...Utakuwa na kipi cha ziada wewe umtulize atulie kwako wewe,na wakati ana maEx Kama 20 hivi amabo wengine tayari washa tajirika..Ni jgumu sana sana kuwabania
 
chanzo cha mateso yote ya mwanaume ni ubinafsi kuamini sifa za mtu anazo yeye tu.
Mwanaume akikubari ukweli kuwa hata mwanamke ni kiumbe kamili chenye kujitegemea katika kujimiliki, kutaman na kuhitaji, basi ataamin hata katika mapenzi nao hupenda kubadirisha ladha kama wanaume!
binadam hamilikiwi mana ana utashi binafsi iwe ana mkataba na mtu au la!
Ndoa ni zao la ubinafsi wa mwanamme na utumwa wa mwanamke!
Muhim ni uwe na mtu ukiamini ni binadam na si asset,
Uwe tayari kuwa naye na tayari kuachana naye bila madhara ya kimwili au kiakili!
Na katika yote dumisha urafiki kwa kuwa rafiki kwanza.
usitake kuvuna usichopanda.
Iheshimu nafsi ya mtu na matakwa yake.
HAKUNA MTU WA MTU! zaidi ya makaratasi.
...love responsibly
{ushuhuda: nilishuhudia mtalii wa kiume ( 55 ages) akimruhusu mkewe kufanya ngono na beachboy kwa malipo maalum akimsisitiza kijana amshughulikie style zote mkewe aridhike! hadi leo sijui huyo baba ana kanuni gani ya maisha na ndoa}
 
Endeleeni kuwapeni na morning glory wake zenu kwa fujo kama mnaua nyoka, waje kazini wamechoka wana sinzia tuwasaidie kazi alafu tuwale vile vile

Mbaya zaidi mwanaume unaamka asubuhi una mkanda mkeo kisawasawa ukidae eti ni morning glory unapiga kama una ua nyoka hujali hata anaenda kazini, mkeo anakuja kazini anasinzia kachoka vibaya sana. Anasababisha foleni zisizo na mpangilio kwa wateja, watu wanalalamika basi boss anakua mkali tuu cz kazi kwa upande wa mkeo haziendi vizuri. mwamba vijana wa kujali ofisini wanamsoma mkeo ramani chapu wanamwambi naona mzee leo kakuweza anajibu tuu wala usiku sijalaa na umwa basi mabaharia wanakazia mada pale pale mkeo hanajinsi kujibu kwa aibu nyie wa kaka ni wajeuri watundu sana nimewazoea kimasihara wanamtoa kwenye reli alafu utasikia wateja wengine njoeni huku . Mkeo anasaidiwa chap chap huku amelegea kwa uchovu wa morning glory uliyompa kama una ua nyoka.

Hapo hapo mazingira yanatengenezwa chap then unasikia lunch wapi pendekeza utakula kwa bili yangu usijali. Mkeo mwajiriwa anasetiwa kimasihara sana alafu anakua analiwa na kastaff kezake kanacho mpiga tafu kazi za ofisini kipindi wewe ukimwazibu na hizo morning glory zako ukidai ni mapenzi.
 
ikiwa ana mume wake huko na akirudi anakuheshimu haina shida kabisa maana hata sisi hatuna mpenzi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…