Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Hakuna mwanamke mwajiriwa anayejielewa endelea kudanganya uma
Kwahiyo hata Rais wetu mama Samia, hajielewi? maana naye ni mwajiliwa na ni mwanamke, achilia mbali mama zetu,dada zetu na mashangazi zetu.
Na hili bandiko lako ni kwa mujibu wa utafiti au uhayawani tu😀
 
Kuna jamaa anisamehe kuna secretary wa bosi tulikuwa tunabaki wawili maksudi nikawa namla jicho afu maskini mmewe anakuja mpitia kazini na ananisslimia vizuri .nashukuru niliacha kaxi na kuhama mkoa na namba nlibadili maana nlipiga kibunda hivo nkachange number nlimpa mil 2 za shukran hakujua ndo bye bye
Hizo laana, Jiandae kizazi chako kuwa cha hovyo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yani kama naliona vile hilo tukio demu akitega tako na jamaa akilipiga piga pa pa pa......
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
JamiiForums-57411519.jpg
 
Nlichokigundua humu kuanzia mtoa mada na wengine mnaosupport ni kwamba mmet*mbewa sana wake zenu, Yani sanaa.

Sasa hivi mna trauma ya kuliwa kwa wake zenu,

Hapa mnatafuta unafuu kisaikolojia kwa kuwafanya hata wengine nao wajihisi wanat*mbewa wake zao makazini,

( Kuna ile kauli kuwa msiba wa wengi ni harusi ndio mnachokitengeneza hapa ili kujipa unafuu )



Be gentle, kuwa rafiki kwa mke wako,
Mfanye ajihisi amani ya moyo kwa 100%,

Usiishi nae kizee,

Mtengeneze mpaka adharau wanaume wengine yani akuone wewe ni mwamba siku zote na muda wote.

Mfanye awe addicted na wewe 100% ( Ataona hata kinyaa na kichefu chefu kuvuliwa chupi na dume lingine)
Mkifanya hivyo habari za kut*mbewa mtasikia kwenye radio.


Siku akikusaliti akat*mbwa hata kama ni kwa kubakwa atajiona ni mwenye hatia kubwa sana hapa duniani na ndio siku ambayo atajipeleka akhera kwa kitanzi.
 
Salamu ndugu zangu

Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele

Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu

Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao

Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake

Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.

Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa

Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale

Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa

Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa

Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako

Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake

Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini

Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.

Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
Jamanii
 
Back
Top Bottom