Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.

Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.

Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.

Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.

Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.

Kwa ufupi Hakika Ruben kaongea maneno ya ovyo kwa maumbile ya wanawake.

Kaenda mbali zaidi kwa kusema kama wanajua wana maumbile hayo kulikuwa na haja gani ya wao kuja duniani?

Ninawasihi mashabiki wa huyu msanii uchwara tumgomee kazi zake zote pia ikitokea kupiga kura kwenye tuzo atakazokuwa nominated tusifanye hivyo.

Tazama hiyo clip kisha utoe maoni yako.

View attachment 2158144

nahisi naww n flat screen[emoji3][emoji3]si kwa chuki hizo
 
Alianza vizuri ila akaanza kuboa , eh kumbe ndo kafikia pabaya hivi...
Mimi nimeuona huu uzi 2023 ambapo tayari mambo yake ya siri yamejulikana kwa watu kuwa naye ni Bwabwa. Btw, Hiyo video inaonyesha kabisa ametumia filter na mwanau anayetumia filter kwenye picha zake sinaga imani naye, ni ama shoga au dish limeyumba. Sorry nimetoka kwenye maada, Kwenye hili Rubeni alizingua aseee.
 
Watu 24 tayari wapo ndani, kwa moto Uganda wenye nyumba wanafukuza mashoga wanaogopa msala,
Zambia napo hapatoshi, Burundi kwa Moto, bado Kenya na tz,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi habari mnatoa wapi.
 
Hebu nipisheee mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikianzaga kukusaulaaa unakuaga mpoleeee. Now sitakii tyuuh kukupa airtime,

Mxxxxieeeeeew
Kwahiyo wewe cocastic umekubaliana na hali ya kuwa shoga, na huoni haja ya kufanya jitihada zozote za kuachana na huo mchezo mchafu unaoufanya? Pia ningependa kufahamu huu upuuzi na chukizo unalofanya ulianza toka mdogo au ulijifunzia ukubwani?
 
Hahaha ila coca bwana
Yaan wabongo kwa unafiki hakuna wa kuwakuta,

Unakuta mtu anamsema shogaaa wee, akimuona utaskia "fulaan nivushe kias fulan" ila wenzake anaokaa nao kuzodoa hawaombi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂
 
Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.

Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.

Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.

Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.

Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.

Kwa ufupi Hakika Ruben kaongea maneno ya ovyo kwa maumbile ya wanawake.

Kaenda mbali zaidi kwa kusema kama wanajua wana maumbile hayo kulikuwa na haja gani ya wao kuja duniani?

Ninawasihi mashabiki wa huyu msanii uchwara tumgomee kazi zake zote pia ikitokea kupiga kura kwenye tuzo atakazokuwa nominated tusifanye hivyo.

Tazama hiyo clip kisha utoe maoni yako.

View attachment 2158144
Clip mbona ni ya walokole wakimpiga bakora shetani?
 
Nope. Ndio kwanza wanajadili kuhusu nia ya kuleta muswada bungeni.

Bado mambo yapo kinadharia tu ili kuzua taharuki na kutengeneza kiki za kisiasa.

Infact, museven hajaanza kutepeta leo. Alishatepeta toka mwaka 2014 alipojaribu kutunga sheria dhidi ya mashoga kisha akaifuta fasta baada ya kupigwa mkwara na mabeberu.

Huyu museven hajaanza leo vituko. Tunamjua anavyosinyaa na kunyong'onyea akiona madume ya mbuzi ya ulaya yamedisa.

Mwaka 2014 alipopigwa biti na madume akaifuta sheria fasta fasta akatokomea shimoniii akajifukia. Leo Kaibuka tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hua nashangaa kwanini wanamuona Mu7 ni shujaa wao wakati hana lolote anawahadaa tu Wana Uganda na EA kwa ujumla, hana hizo nguvu za kukataza homosexuals hana na hatokua nazo
 
Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.

Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.

Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.

Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.

Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.

Kwa ufupi Hakika Ruben kaongea maneno ya ovyo kwa maumbile ya wanawake.

Kaenda mbali zaidi kwa kusema kama wanajua wana maumbile hayo kulikuwa na haja gani ya wao kuja duniani?

Ninawasihi mashabiki wa huyu msanii uchwara tumgomee kazi zake zote pia ikitokea kupiga kura kwenye tuzo atakazokuwa nominated tusifanye hivyo.

Tazama hiyo clip kisha utoe maoni yako.

View attachment 2158144
Kwani uongo kama mwanamke ni kamzigo!!?
Mm kwangu kawaida sanaaaa...
Na wao wanavyowasema wanaume kibamia ulikuja na walaka wa kuombwa radhi!!?
Kaa kwa utulivu
 
Hizo kyumaa umeachiwa wee uzi zagamue hata kwa Mafungu ni wee na uwezo wako tyuuh.

Naweza kuwa na matatizo ila nisihitaji msaada kutoka kwa yeyote. Nyie wenye akili mmegundua nn cha maana?? Uzinzi.na umalayaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wabongo bhanaaaa, ni comedian toshaaa
Kati ya uzinzi , Umalaya na ushoga ni kipi kibaya zaidi mtu wewe ( nashindwa nikuite dada au kaka, s/he)? Hata wanyama ni malaya ( jike zaidi ya mmoja) lakini sijawahi kuona wanyama mashoga! Hata vitabu vya dini vinaonesha Mungu kuchukizwa zaidi na ushoga kuliko uzinzi na umalaya unaouchukia wewe. Halafu swali lingine Kwani wewe shoga una mme mmoja tu ? Na, je, mmeoana kwa ndoa au mnaishi km mme na mke?
 
Hakuna kizuri vyote vimekatazwa, labda hufuatilii maandiko.
Sio lazima uniite, afu kuhusu km nna mume m1 au wengi, pia km tumeoana kwa ndoa au laah.
Hoja yako haina mashiko, afu leo cna mood ya kushusha gazeti.

Kwa kifupi pambana na maisha yakoooo.
 
Mbona unaruka hoja ya km kuna wanyama mashoga?
 
Back
Top Bottom