Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Acha unafiq unajidai "tuwapotezee tusiwajadili tusiwape umaaarudu"ilhal ndo kinara wa mada hizo 😅😅ticha bana
Kazi ya kulea pekeako haikutoshi unaongeza na zingine eehh
Haya byeeeeeee enjoy the space
 
Ninawalaum sana wanawake kwa kusapoti hawa watu.... huyu jamaa ana mashabiki waaminifu sana ambao ni wanawake... kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu Hakika Ruben... kinachoudhi wanawake wakisikia mtu ni shoga hukimbilia kuandika "Mungu tulindie vizazi vyetu" lakini kwenye maisha ya kawaida wanawake huwapenda sana hawa watu na kuwa nao karibu.
📌📌📌 kabisa hata kwenye shughuli nyingi mjini za wanawake mashoga kama wotee na sare wanavaa .
 
Sasa pale unauliza nn?? Wakati mie nimeuliza nipewe jibu.

Km hukuelewa ungerudia kusoma, ni vile uko bitter na mie bas unajiskia raha kunichoshaa, yaan usiponichokoza hujisikii amani wee kiumbe khaaah
Bitter na wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Una hoja , usikilizwe.
 
Back
Top Bottom