Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Nakubaliana na wewe kuhusu Elimu,
Namjua mmoja amesoma anaishi life hilo balaa, gari anazotembelea sasa sio za Mjapani, Ghorofa lipo Kigamboni karibu na bahari, Ulaya anaenda kama Kariakoo lakini kilichomfikisha hapo sio Ushoga ni Elimu yake kaitumia vizuri anawapanga Wazungu wanamwaga mihela tu kupitia vimiradi uchwara.
 
Yaan ndo hivyo dear,
Huoni Frankie maston at least anaish classic life, japo sio luxury hivyo ila ana deserve, kwann anatumia Elimu vizuri.

Now yuko na NGO inayo husu mradi wa ufadhili wa Transgender hapa Bongo, hana shida ndogo ndogo
 
Yaan ndo hivyo dear,
Huoni Frankie maston at least anaish classic life, japo sio luxury hivyo ila ana deserve, kwann anatumia Elimu vizuri.

Now yuko na NGO inayo husu mradi wa ufadhili wa Transgender hapa Bongo, hana shida ndogo ndogo

Namjua vema that Doll na hua nahudhuria shows zake, yupo sweet ndani na nje,
Naijua vizuri NGo yao kuna miradi mingine hua tunafanya nao,[emoji3059]

Tuzidi kuambizana kua Watu wasiishi kwa huruma ya Sexualities zao, bali wajue Dunia ni Mapambano hawana budi kuingia na kupambana ili waweze kuishi a better life... hakuna Mtu atakupa mkate kila siku sababu wewe ni Gay, kwani Ugay sio ulemavu, ukikosa kuajiriwa basi jiajiri ipo hivyo siku zote.
 
Haswaaaaaa dear umenena.
 
Mbona unaruka hoja ya km kuna wanyama mashoga?
Wamejaa tele kama hujawahi kuwaona haimaanishi hawapo,
Nimeshuhudia Paka
Nimeshuhudia Majogoo
Nimeshuhudia Mbwa tena huyu nilimuokoa maana alikua ana wake likaja limbwa lingine likawa linamfosi huku yule mpenzi wake akibaki mnyonge, nikafanya maamuzi magumu, na kurudisha amani ya wapendanao wale,

Unaweza pia kupita kwenye mitandao ukapata mawili matatu.
 
Kazi ya kulea pekeako haikutoshi unaongeza na zingine eehh
Haya byeeeeeee enjoy the space
Badilika stop being hypocrite,hata nikilea peke yangu najimudu maisha nilonayo kwako ndoto ticha😅afu una inferiority complex instead ya kujibu hoja umekimbilia kusoma bandiko langu poor you 😅mie sijabother hata kusoma mabandiko yako cause your a looser, nothing interesting about you mnyonge 😅😅
 
Wanawake wanapenda watu wa namna hii jamii ya kina Jumalokole, nachelea kusema wanawake ndio walezi wakubwa wa machoko
 
Yeah noel mbona ndo madam boss wa mashouger
Anaishi poshy life masaki hukoo ni mke ya mzungu
Hivi Martin Kadinda aliishiaga wapi, hivi nayeye alifanikiwa kweli kuyatunza marinda?
 
Ni kweli mashabiki wao wengi ni wanawake. Hata huku mtaani mashoga niliowahi kuwafahamu marafiki zao ni wanawake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama ulikuwepo
 
Hua nashangaa kwanini wanamuona Mu7 ni shujaa wao wakati hana lolote anawahadaa tu Wana Uganda na EA kwa ujumla, hana hizo nguvu za kukataza homosexuals hana na hatokua nazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Museven ni shujaa wa manyumbu yanayopinga ushoga bila kuwa na taarifa muhimu.

Kile kibabu kila kikikosa mvuto wa kisiasa kinakimbilia kuvamia mashoga ili kijitwalie ujiko kwamba ni rais bora.

Mashoga ni kiki ya museven. Akijisikia tu kupata nyota ya mvuto, mara paaap anarukia ajenda ya ufirajii!!!

Na anajua kuwachota sana akili mazezeta wanasahau shida zinazosababishwa na serikali wanabaki kukimbizana na mashoga!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hadi simba shoga wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…