Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nakubaliana na wewe kuhusu Elimu,Tatizo gays wengi wa Bongo hawana Elimu, afu wakipata bahati ya sponsors wa maana, wanaishi km wema au Mobetto wanasahau wale ni wanawake sponsors mda wote wanapata, wao ni wa msimu na wa kutafuta.
Hakika angekua na akili hata sahv asingekua anajiliza wazi, ila alikimbilia life LA slays. Lol
Namjua mmoja amesoma anaishi life hilo balaa, gari anazotembelea sasa sio za Mjapani, Ghorofa lipo Kigamboni karibu na bahari, Ulaya anaenda kama Kariakoo lakini kilichomfikisha hapo sio Ushoga ni Elimu yake kaitumia vizuri anawapanga Wazungu wanamwaga mihela tu kupitia vimiradi uchwara.