Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Kwani uongo kama mwanamke ni kamzigo!!?
Mm kwangu kawaida sanaaaa...
Na wao wanavyowasema wanaume kibamia ulikuja na walaka wa kuombwa radhi!!?
Kaa kwa utulivu
Kwahiyo wewe unasapoti alichotamka Shoga?
 
Yaan wabongo kwa unafiki hakuna wa kuwakuta,

Unakuta mtu anamsema shogaaa wee, akimuona utaskia "fulaan nivushe kias fulan" ila wenzake anaokaa nao kuzodoa hawaombi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nauchukia sana unafiki na wanafiki. Mtu kama shoga si uwe tu real kwani nani unamuogopa?

Mtu kuwa real ni kosa?
 
Uache kulaumu wanao mfira uje ulaumu wanawake una kichaa wewe kwani walimshikia miguu. Mijibaba ya jf mnakera kila tatizo lawama mnawapa wanawake khaaa kwa style hii ya kulalamika acha muendelee kuliwa tu
 
Ajabu ni kwamba wanaofanya huo ushetwani ni wanaume...na nyie ndo mko hapa mnawashangaa... 🤪🤪🤪🤪
Shangaa na wewe mama mana nimeona jinga moja hapo juu linalaumu wanawake kwa kukaa na mashoga wakati wafiraji hawaongelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…