Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Moja ya vilaza wazur sana kwenye hii nchi ni huyo jamaa
 
Mbona hamna cha ajabu kwenye hiyo video clip??
Kwani uongo mkuu, wanaume wengi wanapenda kalio, na kuna memes kibao zinadiss wanawake vimbaumbau.

Hata haina shida hapo labda tu kama wewe ni ke basi hauna traakoo na kama ni me basi mke/manzi ako hana wowowo.
Pole sana mkuu.
 
Wanawake kusemana ni kawaida yao, wewe unawafatilia wa nini?
 
Uyo jama no bwege tu kazi take kutukana
 
Aseee feminist bhana wajinga wajinga kweli jamaa kasema kalio tu povu kama lote lakini wanaume utasikia mwanamke anasema kibamia mara madudu mengine miwanawake inakenua tu lakini Jamaa kusema kalio tu basi povuuu jingi mwacheni atumie akili yake kula kuliko kuwa fisadi
 
ila wanawake bwanaa hadi mnaboa wakati mwingine...... ivi neno kibamia lenyewe si udhalilishaji, mwanaune suruali lenyewe ni zuri sio....

nyie ni nani msisemwe, anasemwa msemaji wa upinzani ije kuwa nyiee....

kwendraaaaaaa.... Kamuue basi
 
Ficha upumbavu wako.
 
Wewe ni mpumbavu sana aisee. Hakika Ruben kusema kwamba "kama ulijua uko hivyo usingekuja?" Huoni kama kaingilia hadi mamlaka ya muumba?
 
Wewe ni mpumbavu sana aisee. Hakika Ruben kusema kwamba "kama ulijua uko hivyo usingekuja?" Huoni kama kaingilia hadi mamlaka ya muumba?
Mamlaka gani ya muumba yaliyoingiliwa hapo wewe mfia dini,, Ukiona mwanamke mjinga anasema kibamia mtandaoni unakenua domo lote nd nyie mkiguswa kidog tu lawama nyingi ficha ujinga nyingine ni comedy tu usichukulie kila kitu serious Sana hata dunia yenyew haijawai kuwa serious hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…