MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #21
Cha kushangaza watu wanatetea harassment inayofanywa na huyu comedianAlianza vizuri ila akaanza kuboa , eh kumbe ndo kafikia pabaya hivi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kushangaza watu wanatetea harassment inayofanywa na huyu comedianAlianza vizuri ila akaanza kuboa , eh kumbe ndo kafikia pabaya hivi...
Kweli kabisaComedian wengi wanalazimisha fani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni kweli..Basi kazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo comedian mbona kama golikipa hanna na beki hazikabi??
Wanawake muache kulalamika nyie c nisuper woman mbona sie tunakausha tuCha kushangaza watu wanatetea harassment inayofanywa na huyu comedian
FeminismWanaosemaga Wanaume wanavibamia ndio unawatetea?
Mbona wakiwasema wanaume vibaya hamuwasemi
Uyo jama no bwege tu kazi take kutukanaWakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.
Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.
Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.
Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.
Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.
Kwa ufupi Hakika Ruben kaongea maneno ya ovyo kwa maumbile ya wanawake.
Kaenda mbali zaidi kwa kusema kama wanajua wana maumbile hayo kulikuwa na haja gani ya wao kuja duniani?
Ninawasihi mashabiki wa huyu msanii uchwara tumgomee kazi zake zote pia ikitokea kupiga kura kwenye tuzo atakazokuwa nominated tusifanye hivyo.
Tazama hiyo clip kisha utoe maoni yako.
Ficha upumbavu wako.Aseee feminist bhana wajinga wajinga kweli jamaa kasema kalio tu povu kama lote lakini wanaume utasikia mwanamke anasema kibamia mara madudu mengine miwanawake inakenua tu lakini Jamaa kusema kalio tu basi povuuu jingi mwacheni atumie akili yake kula kuliko kuwa fisadi
Wewe ni mpumbavu sana aisee. Hakika Ruben kusema kwamba "kama ulijua uko hivyo usingekuja?" Huoni kama kaingilia hadi mamlaka ya muumba?ila wanawake bwanaa hadi mnaboa wakati mwingine...... ivi neno kibamia lenyewe si udhalilishaji, mwanaune suruali lenyewe ni zuri sio....
nyie ni nani msisemwe, anasemwa msemaji wa upinzani ije kuwa nyiee....
kwendraaaaaaa.... Kamuue basi
Acha ku- quote kila comment acha upumbavu kijanaFicha upumbavu wako.
Mamlaka gani ya muumba yaliyoingiliwa hapo wewe mfia dini,, Ukiona mwanamke mjinga anasema kibamia mtandaoni unakenua domo lote nd nyie mkiguswa kidog tu lawama nyingi ficha ujinga nyingine ni comedy tu usichukulie kila kitu serious Sana hata dunia yenyew haijawai kuwa serious hivyo.Wewe ni mpumbavu sana aisee. Hakika Ruben kusema kwamba "kama ulijua uko hivyo usingekuja?" Huoni kama kaingilia hadi mamlaka ya muumba?