Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Mimi nilimblock kwahiyo post zake sizioni. Napata tu notification inayosema "1 ignored post. View?"

Hivyo nakua na option ya kuangalia alichocomment au la. Fanya hivyo na utanishukuru. Ni heri uninyonge lakini sio kumfatilia mtetea upinde.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sometimes huwa unachagua kusoma??
Huu unafiki sasa lol
 
labda kama ameachika siku hizi ila alikuwa na mzungu wake alikuwa anampa maisha . alikuwa classy sana. siku hizi tu namuona anafanya mambo ya kiswahili kama kukatika katika ovyo mitandaoni
Madanga wamekata,
Mwenzake R analia na teuzi kimya kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]r
 
Na yule aliyepunguza tumbo mhindi mchicha mwiba japo kaoa Yuko kwenye mitindo nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu ni wengi mnoooo. Uwiiiiiih
Ni kweli kapunguza nkajua rumors tyuuh. Lol
 
Km huna jibu kaa kimya, sasa unauliza na unaona hapo khaaa
Hope you forgive me, never meant wrong
Tried to be patient, but waited too long
But I would've came back, but I would've came back for you
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mlongo huyo mbna yuko waziiiii.
Tangu rafk wa last born, aggrey, FM, GH wote hawaa ndaniii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wanaume wameisha Jamani kaahhh
Balaa zito
 
Hope you forgive me, never meant wrong
Tried to be patient, but waited too long
But I would've came back, but I would've came back for you
Sasa pale unauliza nn?? Wakati mie nimeuliza nipewe jibu.

Km hukuelewa ungerudia kusoma, ni vile uko bitter na mie bas unajiskia raha kunichoshaa, yaan usiponichokoza hujisikii amani wee kiumbe khaaah
 
Sheria ipo hivi kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni jela Maika 30 ila kumuoa mwanaume mwenzako jela miaka 7[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna chochote hapoo watatoka bila hata faini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom