Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Wanaanzaje wakati ushaambiw mwenye shamba ni mwingine mazao ni ya mwingine au wote 😆

Au walimpa mtu awaangalizie sunajua Tena mtu akuchungie hasa huku dar huo mfumo upo sana..... Inawezkn ama la maake wabongo kwa maneno hatujambo
Upande wa Kweka, unatakiwa utoke na wao waseme kuhusu hili suala.
Kukaa kwao kimya, kunatoa wasi wasi.
😂😂😂
 
Acha bangi.
 
Kwa wamachame na wasio wamachame, kuna kitu watajifunza. Sasa hivi kama kuna mwanandoa alikua anahangaika kufoji hati ofisi za ardhi, atatulia kwanza
Kwani unafikiri kweka angeweka zuio la hati hizo asingesikilizwa alikuwa kafariki?? ama kulikuwa na talaka ?? ama wao walikuwa na makubalian kwamba chukua hiki na mm nibaki na hiki then mambo yakawa tofauti?? Ndipo Jane atake nyumba ama mali ziwe zake ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…