Wala usiogope,haya mambo yapo tokea enzi na enzi.Mmh kwq hali ilivyo acha nipate tutakaependana tukubaliane tuzae tu, mambo hayo mengine sitaweza 🙌🙌
Mambo gani haya jmn
Watt wanabaki na trauma mbaya
Kweka is typing....ile clip ya katoto kake kamebebwa omeniumiza sana kama mama.
Kuanza upya sio ujinga jamani, i wish kila mtu angepewa roho kama yangu sioni hatari kuacha kila kitu kuanza moja na huaga sijiilizi mara 2!
Kiumbe mbinafsi ni Mwanamke manake mwanaume anafanya kila kitu kunufaisha mkewe na watoto wake. Ila mwanamke akipata anatumia pekee au hupeleka kwao. Sasa mume kwani hana kwao?.Huyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Fresh bwasheee tunasukumaa gurudumuSalama master za mda dr
Mbona ataanza yeye kweka kabla ya mama yake.Huyu kweka itakuwa sababu ya mama yake kufa,atamuua Kwa mawazo.
Daaah,hapa sio shida Mali,itakuwa wanashida zao,Mbona ataanza yeye kweka kabla ya mama yake.
Wee ngoja aende huko mahabusu, wafungwa wakachokonoe mishono ya kansa, uwiiiih.Yaani angejishoot,
hiki anachopitia ni maumivu makali zaidi ya huo ugonjwa alionao.
Kujiua sio rahisi mpaka uwe umetumia vitu vikali.Inasikitisha,huyu kweka angejiua nae pia.View attachment 3686827
Yaani wee acha tu, mwenzio nikikosa ubuyu naumwaa.Nimecheka 😀 uko makini sana na ubuyu daah! 🤣
Atakufa soon huyu.Watu wabaya wanaishi zaidi
Mungu atachelewa kumpenda zaidiAtakufa soon huyu.
Turudi studio kupata matangazoNgoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.
Baba anayejua siku zake za kuishi zinahesabika, anaweza kuua mama ambaye ndio analea watoto hadi kuwalipia ada kisa nyumba? Na anajua yeye hatokuwepo? Basi hata mama awepo aangalie watoto?
Ni kwa sababu alijua hata watoto hawamuusu😝😝na hawamuusu kwa sababu uwezo wa kuzalisha hakuwa nao. Na kwanini hakuwa nao?😝😝😝
Daaah weeeh😁Wee ngoja aende huko mahabusu, wafungwa wakachokonoe mishono ya kansa, uwiiiih.
Una maanisha nini? Nikupe siri hakuna watu wenye Roho mbaya pale wakichukia au kukasirika km Gays, hasa Bottoms hawana kugeuka nyuma, na hawajui kitu kinaitwa msamaha, usicheze nao kiresi.Mwanaume ambae hajakamilika asingefikia maamizi ya vle...
Duuuh hatarii sana.Watakuwepo ndiyo maana nikasema kwenye kashia kma hizi familia ya mtuhumiwa ambayo ni Kweka's family watakuwa zaidi nyuma tofauti na kungekuwa na kuachana kwenye amani halafu mtu afe kifo chake mwenyewe
Hajui utamu wa kisusio huyo..ni kama kumnyima mkurwa kichuriMbona rombo tunazila sana pia 😅 Ila ninyi mmezidi kwa ukatili alooh Kuna jamaa alikuwa anampiga mkewe mpaka anajuta
Shida ipo sana na imeshawekwa wazi hapaDaaah,hapa sio shida Mali,itakuwa wanashida zao,
Sema ukweli wanajua wenyewe wanandoa.
Wafungwa watakavyoharibu mishono ya kansa huko jela, namuhurumia kwa kweliMungu atachelewa kumpenda zaidi