cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂 atakufa sasa hivi wee subiri tu.Daaah weeeh😁
😂😂😂 atakufa sasa hivi wee subiri tu.Daaah weeeh😁
Unatufaa sanaa pale hazinaNatakiwa nikusanye na kuyahifadhi na kuyalinda kwa wivu mkubwa.
😂😂😂
Swadaktaaa.Unatufaa sanaa pale hazina
Au tukutwange kijumbe kama Aunt Ez?Swadaktaaa.
Niwe muweka hazina plz.Au tukutwange kijumbe kama Aunt Ez?
Lakini sio Mali?Shida ipo sana na imeshawekwa wazi hapa
😂😂😂
😂😂😂 sio Mali, ni kingine kabisaa.Lakini sio Mali?
Kama ni Mali si kweli.
Nabisha kuhusu Mali😂😂😂 sio Mali, ni kingine kabisaa.
Kaone😝😝😝😝Naomba uweke hapa tafadhari, mambo kwa ushahidiiii. Jamaniii alooooh
😂😂Kaone😝😝😝😝
Kwa umbea sasa
Uje nikupe umbea roho yako isuhuzike😝
😆😅 Sema hapa hapa dolly hujui coca nipo nae kwenye tasnia ya habariUje nikupe umbea roho yako isuhuzike😝
Nikisema hapa wananipopoa😝😝😝si unaona.😆😅 Sema hapa hapa dolly hujui coca nipo nae kwenye tasnia ya habari
Em fungua pm nizame kunako mae 😅Nikisema hapa wananipopoa😝😝😝si unaona.
... yaani wewe almost posts zote kwenye huu uzi umezi-quote! Means karibu nusu ya posts kwenye huu uzi ni zako! Duh! Kweli umbea unaupenda!
Coca hatonishirikisha 😅 kanisani tulikuwepo mbona 🤣Ngoja nimmegee mwandishi mwenzako na yeye aje akubwagie. Ila cocastic kanichekesha sana alivyosema alienda hadi kwenye hiyo nyumba bila kusahau leo alifika hadi kanisani🙆♀🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 wallah kuhusu hawa niliwiwa mno niwajue kiundani sana. Tena sababu ratiba zinanibana, vinginevyo ningefika hadi moshi mazishini.Ngoja nimmegee mwandishi mwenzako na yeye aje akubwagie. Ila cocastic kanichekesha sana alivyosema alienda hadi kwenye hiyo nyumba bila kusahau leo alifika hadi kanisani🙆♀🤣🤣🤣🤣