Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Kweka nyumba alitaka ya nini ikiwa yeye ni marehemu mtarajiwa
Sema nilichogundua Watanzania bado wapo kwenye yale maneno ya Mwalimu Ujinga,Umasikini mpiganaji hauwezi kuua familia kwa sababu ya nyumba au gari nisikilize mimi huyo jamaa atakua ana ugonjwa wa akili sio bure anabakiza watoto kwenye majuto ya maisha yao yote kisa nyumba aisee huyo pimbi hana tofauti na muuza sembe..
 
Haijalishi, ametuwakilisha vyema

Wanawake wengi wanawau wanaume zao wakishajihakikishia kuwa na mali+watoto lazma vitimbwi vianze pia ningemshauri kweka achunguze hiyo saratani inasababishwa na nini pengine aliwekewa hata stillwire kwenye chakula

Hawa wanataka hadi niwapostie picha nikiwa na Kweka ndio wajue namjua vizuri hawa😝😝😝😝
... ulikuwa unamboost? 😅 ... nje ya hapo ungejuaje?
 
Back
Top Bottom