Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Kilichonishangaza hata kama ni kweli mwanamke alibadilisha au alitaka kubadilisha jina kwenye Hati ya nyumba hiyo HAIONDOI haki ya huyo Kweka kwenye UMILIKI wa hiyo nyumba so long as nyumba ILIPATIKANA NDANI YA NDOA!!!!!Sema nilichogundua Watanzania bado wapo kwenye yale maneno ya Mwalimu Ujinga,Umasikini mpiganaji hauwezi kuua familia kwa sababu ya nyumba au gari nisikilize mimi huyo jamaa atakua ana ugonjwa wa akili sio bure anabakiza watoto kwenye majuto ya maisha yao yote kisa nyumba aisee huyo pimbi hana tofauti na muuza sembe..
Unachosema ni kweli kabisa, wanaume wengi wanao-support alichofanya Kweka ni wapumbavu, wajinga na umaskini unawasumbua.
Unaharibu familia nzima kwa kitu ambacho kingeweza kuwekwa sawa kwenye vyombo vya sheria.