Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
I survived to tell tale.Left to tell..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I survived to tell tale.Left to tell..
Lissu ni mpango wa Mungu kwa Watanzania.Kati ya watu ambao Magufuli anaogopa kukutana nao ana kwa ana ni Tundu Antipas Lissu...
Mabango ya mafulugi hayana mvuto. ni uchafu.Kuwepo kwa mabango ya Magufuli pekee kila mtaa kunamfanya aonekane ni dikteta na Lisuu anaonekana ni mkombozi
Sitaacha kuwakumbusha kuwa CCM inadeal na Wapiga Kura na CHADEMA inadeal Mashabiki Hapa ndipo huwa nawambia Hawa CCM wanaijua sayansi ya Siasa Cheki Groups na makundi wanayodeal nao Kama Machinga Wasanii walemavu na Wengine wengi Hawa ni wapiga Kura Kabisa Sasa CHADEMA mnadanganywa na vinyomi vya WATU elf 8 Halafu wapiga kula katika hiyo group unakuta ni 500 ndio maana wenzenu CCM wanaweza kuproject watashinda kwa Asilimia ngapi.Mengi yalisemwa kuhusu YEYE pale aliposhambuliwa kwa jaribio la kioga ili kuweza kupoteza maisha yake. Zilijengwa hoja hafifu ili kuhalalisha udhalimu ule, kumbe wabaya wake hawakutambua ili mbegu iote ni lazima ichimbiwe ardhini na kisha imee na hatimaye iweze kugeuka kuwa mche na baadaye mti wenye matunda mema...
Huyu kada wa ccm naye kaguswa na mbeba maono? Sijaipata hii.Mzee wa upako naye hayupo nyuma
Jpm a.k.a Yeye ajaye hastahili hata kufunga gidamu za viatu vyakeKwa wale wapenzi wa historia ambao tulizoe kusoma kuhusu miujiza katika misahafu mtaelewa ninachosema.Inawezekana kabisa mkachanganywa na mazingaombe mfanyiwayo mmkifikiri ni miujiza..
Sawa! Kupigwa kwake risasi ni kitendo cha kupingwa na kila mtu!
Lakini hiyo haiwezi kuwa tiketi ya kufikiri atapewa urais kwa kuhurumiwa.
.
Ingekuwa hivyo hata Ulimboka angepewa hata ubunge tu
HakikaNakumbuka maneno ailyosema lissu baada ya kupata fahamu "I SURVIVED TO TELL A TALE"
Ebu Acheni Hizi Habari za Mpango Wa Mungu yaanii Kakosa Shughuli Huko Syria Iraq aje kufanya Mpka aje Tanzania Ambako alishatimiza mpango wake hapa miaka mitano iliyopitaa Mungu huwa Habadiliki Tukumbuke in Yule yule Jana Leo na kesho LISU NI MPNGO WA WAZUNGU NA MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGULissu ni mpango wa Mungu kwa watanzania.
Maana yake ni nini kwa kiswahili chepesiNakumbuka maneno ailyosema lissu baada ya kupata fahamu "I SURVIVED TO TELL A TALE"
Nimenusurika kifo, ili nije niueleze ukweliMaana yake ni nini kwa kiswahili chepesi
kama bado upo hukoutakuwa una ndugu na shetani,kwa maisha yapo?We don't care kama ni wa miujuzi au wa shetani sisi leti ni moja tu
View attachment 1579754