minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, mda huu kama siyo CCM pengine Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri America na mataifa tajiri yote Duniani na ingekuwa na kura ya veto, pesa za viwanda pesa za walipa kodi inatumika kuidhoofisha chadema kuua upinzani kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo