mwenzako ana influence kwa zaidi ya wa Tz million 40 na wengine wanaongezeka kila uchao harafu wewe usiyekuwa na ushawishi hata kwa wana familia wako unakomaa kuwa mchawi wa mafanikio ya mtu, mtakuja kufa kwa kubana pumbu kisa mtu fulani asipendwe![emoji23][emoji23][emoji23]hayo maneno mwambie mwandishi wa gazeti na sio mimi
Hivi kwani mmeo lisu akiandikwa tu kidogo unatokwa povu kias hiki?
Mtu mmoja mfanyakazi enzi za ukoloni alishtakiwa kwa nini wafanyakazi walikuwa wakimwita "the boss" wakati kuna boss mzungu. Akjitetea akasema waiteni wafanyakazi muwaulize kwa nini waniite boss wakati mimi sio jibu lao ndio liwe hukumu kwangu. Wazungu walihamaki naye aliendelea kuitwa boss ....Si kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.
"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.
Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
Uongo mkubwa sheria dhidi ya hili jambo. Mtu akipatika na hatia sheria itafuatwa. Alichokataa ni serikali kupekua faragha kutafuta watu wa aina hiyo!Lisu anasema kuingilia faragha za wapenzi wa jinsia mmoja ni u uvunjaji wa Sheria. Ana maanisha watu wanao ingiliana kinyume na maumbile waendelee na faragha zao na yeye anawaunga mkono.
Mungu huyu huyu mliemdhihaki wakati wa maombi ya janga la corona?
Mungu siyo Amsterdam!
Na mtanukuu sana vifunu vya Biblia hadi oktoba 28 mtakuwa wachungaji kabisa.
Haeleluya....jehoava Nissi, jehave Sharma...Elishadai utubebe mwaka huuu tunakuomba...Si kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.
"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.
Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
Nenda YouTube utaikuta video yake acha ubishi wa kitoto!!ujinga wa uvccm na gazeti za ccm, weka hapa video inayoonyesha anatamka hayo!!
Ndg inaonekana wakati Lissu anahojiwa na Media za Nje wwe kipindi hicho Kingamuzi ulikua huna au hukulipia ndiyo maana unaonekana kupitwa na mengi!!unaletaje ujinga wako humu pasipo kuwa na ushahidi nao..acha kuwa shuhuda wa uongo ilihali hata biblia inawalaani watu kama ninyi, mbaya zaidi usikute na wewe ni wa kiume[emoji848]
Wwe Uraisi siyo mafanikio, Uraisi ni Utumishi wa Umma! Kama Lissu anatafuta mafanikio mwambie afunguwe biashara!!mwenzako ana influence kwa zaidi ya wa Tz million 40 na wengine wanaongezeka kila uchao harafu wewe usiyekuwa na ushawishi hata kwa wana familia wako unakomaa kuwa mchawi wa mafanikio ya mtu, mtakuja kufa kwa kubana pumbu kisa mtu fulani asipendwe!
Mungu hatambuliki CCM na kama CCM wangekuwa wanamjua mungu wasingekuwa wanafanya ushetani huu sasa, CCM wamejaa ushetani mtupu ushetani wa kupita bila kupingwa kwa njia haramu na tarehe 28 wanaandaa ushetani mwingine wa kupora ushindi tokea upinzani.Mungu huyu huyu mliemdhihaki wakati wa maombi ya janga la corona?
Mungu siyo Amsterdam!
Na mtanukuu sana vifunu vya Biblia hadi oktoba 28 mtakuwa wachungaji kabisa.
Wa kwao kule kibiti waliuawa na raia si kwamba na wao ni wajuzi kihivyoWatakwambia aliepiga hakuwa mtu wao kwakuwa wakwao moja anaua
AminaSi kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.
Wala kwamba ni mwanasheria nguli.
Ama kutokana na jinsi anavyojenga hoja.
Au mvuto mwingine wowote alionao! Hapana.
Bali ni kwa sababu mida hii alitakiwa awe kaoza kaburini, lakini Mungu akampandisha tokea huko!
Alitakiwa awe kanyamaza lakini bado anasema!
Alitakiwa awe kasahaulika, lakini ndiye anayeongelewa kuliko wengine wote.
Ukisoma Neno la Mungu utaona mfanano wa karibu na kisa cha ndugu yetu mpendwa.
"Basi watu wengi katika wayahudi walipata kujua ya kuwa yeye yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, ila wamwone na Lazaro, ambaye Yesu alimfufua.
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumuua na Lazaro naye; maana kwa ajili yake wengi katika wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu"
(Yoh.12:9‐11)
Sasa tujihoji, kwa nini watu walimiminika kwa Yesu baada ya tukio lile?
Jibu, hawakutaka kumwona Yeye pekee, ila na Lazaro aliyemfufua.
Kwa hiyo kumbe kuishi kwa Lazaro kuliutangaza utukufu wa Mungu. Na ndiyo sababu wakuu wakapendekeza Lazaro naye auawe haraka.
Nilipokumbuka ndiyo maana nikasema; nikimwangalia Lissu nauona utukufu wa Mungu.
Ndiyo kisa cha mimi na wengine tunatamani kumwona siyo yeye Lissu tu, lakini na huyo Mungu wake aliyemwokoa!
Kama mtukufu kaweza kuwa Rais licha ya mapungufu yake mengi mno hata Haji manara aweza kuwa Rais, kuwa Rais kisha kutawala kwa kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji mwingi siyo mafanikio hayo bali ni kuifanya taasisi ya Urais kuonekana ni chombo cha uonevu.Wwe Uraisi siyo mafanikio, Uraisi ni Utumishi wa Umma! Kama Lissu anatafuta mafanikio mwambie afunguwe biashara!!
AmeeeeeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnSi kwa sababu ni mgombea urais anayependwa sana.