Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo akiona waumini wanavyotoa sadaka kwa wingi, kesho anatoa bango.View attachment 1076787
Usalama Kwanza Mengine baadae!!
Atutaki. Sababu anasafiri sana na kula pesa nyingi Sana Za safari.
Nimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Hapo hakuna kumuamini mungu.View attachment 1076787
Usalama Kwanza Mengine baadae!!
Huyo jamaa yupo kwenye wheelchair ndio maana hakuweza simama. Hata Kenya adabu kwa mkubwa ipoDah jamaa anamsalimia Mkuu wa nchi huku kakaa kwenye kiti ? Halafu Uhuru hana hata time
Yule wa kwetu sasa tafuta picha siku ameenda kukagua ndege iliyochorwa Twiga uone hao jamaa walivyosimama kwa nidhamu ya uoga dah
Oh kumbe sikujuaHuyo jamaa yupo kwenye wheelchair ndio maana hakuweza simama. Hata Kenya adabu kwa mkubwa ipo
Nimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Kuna kitu nmejifunza kupitia comment yako hii naomba nichangie nami kidogo!!"Nchi ya democrasia Ile uwezi linganisha na nchi ya kidicteta"
Wewe utalinganisha mtu wa democrasia na mtu mtu dicteta jinsi wanavyokaa na kuonekana never"
Niliishi na wakikuyu sana Nairobi ni watu wakarimu sana wanaipenda nchi yao sio kwamba wana ukabila kama tunavyoaminishwa na watu wengine makabila mabaya kenya ni yale madogo madogo yanajihisi yanatengwa katika utawala wa kenya kitu ambacho sio kweli leo hii kenya maendeleo yapo mikoa yote.
Sio kama kipindi cha Moi alivyokuwa anawabagua wakikuyu na makabila mengine ndio maana unaona sasa hivi Ruto itakuwa ngumu kwake kwenda Ikulu 2020 kwa sababu ya historia yake kwenye kuwasababisha wakikuyu wengi kauawa mwaka 2007.
Uhuru ni presidential material watamkumbuka sana wakenya siku akiondoka sioni kabisa wa kuja kuziba pengo lake exactly 100%.
Yaani unasema huyu hachangamani na wananchi ???kwakweli tunavyofanana ndo tunavyotofautianaHii mbinu ya Uhuru mwl. Nyerere aliitumia sana kwa kukaa vijiwe tofauti kama kile cha saigon kariakoo ili kupata taarifa za hali halisi ya kiuchumi kutoka kwa mwananchi mwenyewe! JK naye alikuwa nayo pamoja na mzee Mwinyi. Ila che Nkapa na huyu wa leo hawachangamani na raia wa kawaida kabisa na ndio maana taarifa wanazopewa zimepambwa hadi zinakosa uhalisia!
Hongera Uhuru kwa kuwa rais wa watu na siyo wa reli!
BAK rafiki tujiandae kuhamia Kenya....utabiri wako huu hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Machadema mna kazi kweli kweli! Hamieni kwa Kenyata.
Yani mtu kaua watu zaidi ya 1,500 ili tu abaki ikulu alafu wewe unakuja kumsifia hapa?
Hivi machadema akili zenu mmezificha wapi?
Kama kuua ni jambo baya mbona mlikuwa mnashangilia Lissu alipopigwa risasi?Yani mtu kaua watu zaidi ya 1,500 ili tu abaki ikulu alafu wewe unakuja kumsifia hapa
Yaani hata wino alioandikia haujakauka tayari Mwana Lumumba kaibuka mulemule!!BAK rafiki tujiandae kuhamia Kenya....utabiri wako huu hapa.
Ni njugu mawe!Aisee hizi ni akili au matope?