Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda uombewe maji ya kunywa.Naomba mniombee wakuu, nina maadui wengi kweli kweli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ana furaha. pamoja na machafuko ya wakenya bado haofii usalama wake. huyu mhutu sijui huwa anaogopa nini
PointKenyatta ni mfanyabiashara na ukizijua fitna zilizopo kwenye biashara ni lazma utakuwa na utulivu kama alionao..
Kingine katokea kwenye royal family yaani sio mara yake ya kwanza kukaa ikulu hivyo hana vitu vya kumshtua sana na kingine ni yupo social, Kwa wale watumiaji wa vitu flani vya chugga wanajua jinsi gani "Peace and love" humaanisha [emoji16][emoji16][emoji16]
Kingine anaongoza watu waliopo huru sana pamoja na katiba ambayo haimfanyi kuwa na "FINAL SAY" yaani kiufupi mazingira yanamlazimu kuwa smart..
Yapo mengi ila haya ni machache katika mengi[emoji4][emoji4][emoji4]
Au Tanzania ingekuwa ndiyo Marekani!!
Umekimbilia mabaya tu. Usisahau nayako kuyaweka pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] Machadema mna kazi kweli kweli! Hamieni kwa Kenyata.
Yani mtu kaua watu zaidi ya 1,500 ili tu abaki ikulu alafu wewe unakuja kumsifia hapa?
Hivi machadema akili zenu mmezificha wapi?
Huyu Uhuru Kenyatta yupo mbioni kubadilisha katiba ili aendelee kutawala 2022"Nchi ya democrasia Ile uwezi linganisha na nchi ya kidicteta"
Wewe utalinganisha mtu wa democrasia na mtu mtu dicteta jinsi wanavyokaa na kuonekana never"
Niliishi na wakikuyu sana Nairobi ni watu wakarimu sana wanaipenda nchi yao sio kwamba wana ukabila kama tunavyoaminishwa na watu wengine makabila mabaya kenya ni yale madogo madogo yanajihisi yanatengwa katika utawala wa kenya kitu ambacho sio kweli leo hii kenya maendeleo yapo mikoa yote.
Sio kama kipindi cha Moi alivyokuwa anawabagua wakikuyu na makabila mengine ndio maana unaona sasa hivi Ruto itakuwa ngumu kwake kwenda Ikulu 2022 kwa sababu ya historia yake kwenye kuwasababisha wakikuyu wengi kauawa mwaka 2007.
Uhuru ni presidential material watamkumbuka sana wakenya siku akiondoka sioni kabisa wa kuja kuziba pengo lake exactly 100%.
Naam, hata Idd Ami, Hitler, na akina Mussolin wapo waliowasifia!Kila kiongozi anaeneo lake la kusifiwa na eneo la kupewa lawama kwan kiongozi ni binadam si mkamilifu
Mkuu nimekupata vizuri kabisa !!Naam, hata Idd Ami, Hitler, na akina Mussolin wapo waliowasifia!
Umechambua vizuri kuhusu mambo ya Kenya na Kenyatta. Kenyatta wa sasa; na hasa huyu wa baada ya "Handshake" ni Kenyatta tofauti kabisa na yule Kenyatta wa ICC, na hata yule wa "Wakora" waliotaka kumnyang'anya ushindi.
Nadhani maana ya ile 'handshake' ilikuwa ni kulinda 'legacy' yake. Sasa hivi amebaki kuimba nyimbo za kupambana na rushwa, lakini haendi popote; na hiyo mipango yake ya' Big Fou' muda ndio umekwishamtupa mkono.
Mtu anapozungumzia kutokuwepo ukabila kama alivyoweka mleta mada, nadhani mtu huyo atakuwa ana uelewa tofauti ya ukabila.
Katiba yao sio 'perfect'; lakini wanajitahidi kuiheshimu na kuitekeleza kwa vitendo sio kama hapa kwetu hasa katika awamu hii.
Kwa sasa hivi, ukitaka kumlinganisha Kenyatta na kiongozi yeyote katika eneo hili, utakuwa huwatendei haki hao unaomlinganisha naye, hasa hawa wanaotafuta hata njia za kuondoa roho za watu ili mradi waogopwe.
Zaidi ya yote, nadhani Kenya ni jamii iliyo tofauti sana na jamii ya waTanzania kwa mambo mengi, moja wapo ikiwa ni huo ukabila, na pia hatuwezi kubeza kiwango chao cha elimu. Wamefanikiwa sana katika elimu yao, na mafanikio ndio yanaanza kujitokeza na kuonekana sasa katika mfumo wao wa uchumi, pamoja na kupishana sana kati ya walionacho na wasiokuwa nacho.
Sina hakika sana kama Kenya sasa hivi ukiwawekea kiongozi anayekiuka taratibu zote hadi katiba wale watu watakaa kimya. Sina hakika.
"Nchi ya democrasia Ile uwezi linganisha na nchi ya kidicteta"
Wewe utalinganisha mtu wa democrasia na mtu mtu dicteta jinsi wanavyokaa na kuonekana never"
Niliishi na wakikuyu sana Nairobi ni watu wakarimu sana wanaipenda nchi yao sio kwamba wana ukabila kama tunavyoaminishwa na watu wengine makabila mabaya kenya ni yale madogo madogo yanajihisi yanatengwa katika utawala wa kenya kitu ambacho sio kweli leo hii kenya maendeleo yapo mikoa yote.
Sio kama kipindi cha Moi alivyokuwa anawabagua wakikuyu na makabila mengine ndio maana unaona sasa hivi Ruto itakuwa ngumu kwake kwenda Ikulu 2022 kwa sababu ya historia yake kwenye kuwasababisha wakikuyu wengi kauawa mwaka 2007.
Uhuru ni presidential material watamkumbuka sana wakenya siku akiondoka sioni kabisa wa kuja kuziba pengo lake exactly 100%.
[emoji16][emoji16][emoji16]umeandika yanayowachukiza, hawatapenda.Kuna kitu nmejifunza kupitia comment yako hii naomba nichangie nami kidogo!!
Kuna sehemu nadhani tunachanganya mambo na kushindwa kuelewa tunahitaji nn hasa ktk suala la Rais,, leo kupitia hii clip kenyatta kawa predential material!!! Nmeshtuka kidg uliposema kwamba kule hakuna ukabila na mle.mle ukadai kwamba tatzo n vikabila vidogo vilivyopo kenya nikashangaa kidogo kwamba huenda hujui maana ya ukabila!!! Ulichokisema kuhusu hayo makabila madogo dogo ndo ukabila wenyewe maana nijuavyo mm kitendo cha makabila hayo kujiona yanakandamizwa huo ndo ukabila!!
Umesema pia kwamba n propaganda tu huko ukabila upo naona kwa uelewa mpana unataka kusema huku Tz ndo upo pole saaana !!! Tz ni nchi ambayo kiongozi yeyote haulizwi Tribal make up yake ,,,ni nchi ambayo watz wanaoana pasipokuangalia anatokea kabila gan leo hii unaandika maneno kama haya????
Kingine umesema kenya ni nchi ya kidemokrasia ??? Kwa maneno yako Rais wa tz mfano Magufuli angekuwa katokea familia kama ya kenyatta ambaye baba yake aliwahi kuwa Rais wa kenya ungetoa matusi sana ndg lakn najua kwann umesema hvyo,,, naomba ufatilie utajiri alionao kenyatta then njoo u comment kwamba nchi ile kuna haki !!! Unasahau hata historia ya kenyatta ktk kuelekea kwenye urais wake unaandika tu!!! Hatari
Kingine labda nitoe ufafanuzi , kuna kitu tunakosea ,in africa there is no dictatorship !!! Labda hapo nyuma lakn we have elements of dictatorship ,,,,afrika tuna elements tu za udikteta ..mfano magufuli anaitwa dikteta hebu jaribu kusoma historia ya nchi zilizowah kuongozwa kidikteta hasa Ujerumani na nchi ya uitaliano then njoo useme ss huku n madikteta !!!
Mwisho ulichoandika umeandika kwa sababu fulani lakn unajua kabsa uongo na ukweli wa maneno yako lakn sishangai maana kwenye tafakuri huwa kuna mawazo kinzani na kila mtu anatafakuri yake lakn ukweli huwa unabaki pale pale tu !!
Kila kiongozi anaeneo lake la kusifiwa na eneo la kupewa lawama kwan kiongozi ni binadam si mkamilifu ,,,magufuli atatoka ,,tutaacha kusema pengine kwa sabab katoka maana hatumpendi lakn atakuja mwingine nae tutamsema kwa sababu zetu wenyewe lakn wote hao kuna chembe tu ya jambo jema ambalo kamwe hatutalisahau !!!!
pasaka njema !!!
Nimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Nimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Chakaza respect mkuu. Wewe ni mmoja ya wana JF wenye michango mizuri japo mara nyingi ni ya kukosoa lakini still uko vizuri. Lakini subiri kidogo: hivi siasa za Kenya unazielewa kwa undani? Nashangaa sana watanzania wengi wameingia kwenye mkumbo wa kuona Kenya na viongozi wake kama watu wa mfano! Ndugu yangu, siasa za Kenya zisikie hivyo hivyo. Ni kifo mkononi. Hakuna demokrasia kama wengi mnavyofikiri. Kilichotokea kwa Lissu Kenya ni jambo la kawaida kabisa. Kenya utaachiwa kufanya mambo yale ambayo hayana madhara kwa establishment lakini kuna mstari ukiuvuka kaburi ni halali yako.Hebu angalia yeye na Odinga ni wapinzani wa jadi kweli lakini wanaheshimiana maana uhasama wao sio binafsi Bali katika kugombea kuwaongoza watu kwenda kwenye neema