"Nchi ya democrasia Ile uwezi linganisha na nchi ya kidicteta"
Wewe utalinganisha mtu wa democrasia na mtu mtu dicteta jinsi wanavyokaa na kuonekana never"
Niliishi na wakikuyu sana Nairobi ni watu wakarimu sana wanaipenda nchi yao sio kwamba wana ukabila kama tunavyoaminishwa na watu wengine makabila mabaya kenya ni yale madogo madogo yanajihisi yanatengwa katika utawala wa kenya kitu ambacho sio kweli leo hii kenya maendeleo yapo mikoa yote.
Sio kama kipindi cha Moi alivyokuwa anawabagua wakikuyu na makabila mengine ndio maana unaona sasa hivi Ruto itakuwa ngumu kwake kwenda Ikulu 2020 kwa sababu ya historia yake kwenye kuwasababisha wakikuyu wengi kauawa mwaka 2007.
Uhuru ni presidential material watamkumbuka sana wakenya siku akiondoka sioni kabisa wa kuja kuziba pengo lake exactly 100%.
Kuna kitu nmejifunza kupitia comment yako hii naomba nichangie nami kidogo!!
Kuna sehemu nadhani tunachanganya mambo na kushindwa kuelewa tunahitaji nn hasa ktk suala la Rais,, leo kupitia hii clip kenyatta kawa predential material!!! Nmeshtuka kidg uliposema kwamba kule hakuna ukabila na mle.mle ukadai kwamba tatzo n vikabila vidogo vilivyopo kenya nikashangaa kidogo kwamba huenda hujui maana ya ukabila!!! Ulichokisema kuhusu hayo makabila madogo dogo ndo ukabila wenyewe maana nijuavyo mm kitendo cha makabila hayo kujiona yanakandamizwa huo ndo ukabila!!
Umesema pia kwamba n propaganda tu huko ukabila upo naona kwa uelewa mpana unataka kusema huku Tz ndo upo pole saaana !!! Tz ni nchi ambayo kiongozi yeyote haulizwi Tribal make up yake ,,,ni nchi ambayo watz wanaoana pasipokuangalia anatokea kabila gan leo hii unaandika maneno kama haya????
Kingine umesema kenya ni nchi ya kidemokrasia ??? Kwa maneno yako Rais wa tz mfano Magufuli angekuwa katokea familia kama ya kenyatta ambaye baba yake aliwahi kuwa Rais wa kenya ungetoa matusi sana ndg lakn najua kwann umesema hvyo,,, naomba ufatilie utajiri alionao kenyatta then njoo u comment kwamba nchi ile kuna haki !!! Unasahau hata historia ya kenyatta ktk kuelekea kwenye urais wake unaandika tu!!! Hatari
Kingine labda nitoe ufafanuzi , kuna kitu tunakosea ,in africa there is no dictatorship !!! Labda hapo nyuma lakn we have elements of dictatorship ,,,,afrika tuna elements tu za udikteta ..mfano magufuli anaitwa dikteta hebu jaribu kusoma historia ya nchi zilizowah kuongozwa kidikteta hasa Ujerumani na nchi ya uitaliano then njoo useme ss huku n madikteta !!!
Mwisho ulichoandika umeandika kwa sababu fulani lakn unajua kabsa uongo na ukweli wa maneno yako lakn sishangai maana kwenye tafakuri huwa kuna mawazo kinzani na kila mtu anatafakuri yake lakn ukweli huwa unabaki pale pale tu !!
Kila kiongozi anaeneo lake la kusifiwa na eneo la kupewa lawama kwan kiongozi ni binadam si mkamilifu ,,,magufuli atatoka ,,tutaacha kusema pengine kwa sabab katoka maana hatumpendi lakn atakuja mwingine nae tutamsema kwa sababu zetu wenyewe lakn wote hao kuna chembe tu ya jambo jema ambalo kamwe hatutalisahau !!!!
pasaka njema !!!