Mkuu asante kwa credit zako, nadhani bandiko lako lingekuja na mifano lingetusaidia sanaChakaza respect mkuu. Wewe ni mmoja ya wana JF wenye michango mizuri japo mara nyingi ni ya kukosoa lakini still uko vizuri. Lakini subiri kidogo: hivi siasa za Kenya unazielewa kwa undani? Nashangaa sana watanzania wengi wameingia kwenye mkumbo wa kuona Kenya na viongozi wake kama watu wa mfano! Ndugu yangu, siasa za Kenya zisikie hivyo hivyo. Ni kifo mkononi. Hakuna demokrasia kama wengi mnavyofikiri. Kilichotokea kwa Lissu Kenya ni jambo la kawaida kabisa. Kenya utaachiwa kufanya mambo yale ambayo hayana madhara kwa establishment lakini kuna mstari ukiuvuka kaburi ni halali yako.
This is an exaggeration, in fact democratically, Tanzania and Kenya are two countries miles apart.Chakaza respect mkuu. Wewe ni mmoja ya wana JF wenye michango mizuri japo mara nyingi ni ya kukosoa lakini still uko vizuri. Lakini subiri kidogo: hivi siasa za Kenya unazielewa kwa undani? Nashangaa sana watanzania wengi wameingia kwenye mkumbo wa kuona Kenya na viongozi wake kama watu wa mfano! Ndugu yangu, siasa za Kenya zisikie hivyo hivyo. Ni kifo mkononi. Hakuna demokrasia kama wengi mnavyofikiri. Kilichotokea kwa Lissu Kenya ni jambo la kawaida kabisa. Kenya utaachiwa kufanya mambo yale ambayo hayana madhara kwa establishment lakini kuna mstari ukiuvuka kaburi ni halali yako.
Tusidanganyane bwana, ukabila hauna kwao, angalia hata hapa, presidential appointments nyingi zina misingi ya "Nepotism" .Hakuna kikubwa kwenye siasa cha kujifunza huko Kenya,wanaparurana hovyo mara mtu anajitangaza rais sasa huo si ni uhuni mtupu,rais anapiga pombe mpaka anayumba!! Ukabila na vyama vya kiujanja ujanja tuu mradi MTU apate madaraka.
Sema tu una chuki zako na jpm kwani hapo uhuru kafanya nini cha ajabu. Inaelekea ni wale wakumwaga sifa mahali hata hapastahili ili kuonyesha kwako kubaya.Nimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Don't call our magufuli a brutal dictator because he is nothing of that. On the contrary the whole world knows kenyas elected odinga as president of kenya and uhuru who you call a democrat with assistance of the kikuyu mafiosi stole the victory forcefully from him. ..and it was not the first time. Don't ever again call our magufuli a despot dictotor you fool because he is only a strong leader.This is an exaggeration, in fact democratically, Tanzania and Kenya are two countries miles apart.
It's not a secret that today's Tanzania is a dictatorship whereby only one person runs the show and he is not keen to entertain any dissenting voice unlike Kenya where power is devolving in between different institutions.
Needless to say, going by the current trend of affairs it's not possible to draw a parallel between the two guys. Kenyatta is, arguably, a democrat when Magufuli bears all the hallmarks of a brutal despot.
Uwe unaongea facts mjomba! Ulishawahi kuwa eneo alipo ukaushuhudia huo ukuta wa walinzi au unaongea tu. Na kea taarifa yako, bwana yule anaongoza afrika kwa kuwa na kikosi kikubwa cha kumlinda!Yaani unasema huyu hachangamani na wananchi ???kwakweli tunavyofanana ndo tunavyotofautiana
Yaani wewe ni hovyo kabisa !!!Uwe unaongea facts mjomba! Ulishawahi kuwa eneo alipo ukaushuhudia huo ukuta wa walinzi au unaongea tu. Na kea taarifa yako, bwana yule anaongoza afrika kwa kuwa na kikosi kikubwa cha kumlinda!
Bahati mbaya hujawahi kutoka nje ya mipaka ya nchi ukaona raia wa wenzetu anavyochangamana na raia wake.
Duu umetapika kwa kiwangu cha kuishiwa maji mwilini! Eti anakula mama ntilie? Wewe ndio wale wakiona Van Damme karuka toka ghorofani wanajua ni uhalisia, amka mkuu kumekucha!Yaani wewe ni hovyo kabisa !!!
Usikariri maisha! Kuwa karibu na wananchi siyo tu kushikana nao mikono na kutoweka uzio kwenye ziara !! Kwa uelewa wako unafikiri Rais ndo ana order kuongezewa Ulinzi !! Study these issues about presidential security !!!
Siyo lazima ati kwa sababu rais fulani yeye alikuwa na wananchi kwa kucheza nao muziki ndio useme huyo alikuwa bomba !!! Ni mara ngapi magufuli anakula hadi madafu na wananchi??? Mara ngapi anakula kwa mamantilie ???? Mara ngapi anasaidia wananchi wanaojitokeza kwenye ziara zake licha ya walinzi kuzuia lakn amekua akilazimisha tena kinyume na taratibu za kiusalama za rais?? Ili angalau asaidie watu wake??? Je hukuona musoma mara ,sengerema na hata hapa juzi ruvuma na mtwara jinsi alivyokuwa anasaidia wananchi hata kuwapandisha wengine podium????? Je unasema ukarbu upi wewe mtanzania ulietembea mataifa mbali mbali???? Je unaongea haya kwa sababu tu unauwezo wa kuandika??? Je mara ngapi huyu kiongozi kakaa na kusafiri na wananchi wake kwenye vyombo vya usafiri??? Umesahau kigongo ferry kule mwanza??? Je umesahau siku anaenda kigamboni hadi akakaa na mlemavu??? Umesaahau je siku aliposafiri ndege ya umma kwenda mwanza?? Mara ngapi akienda misibani hasa kule kwao amekuwa akicheza bao na wazee wa kijiji? Na kublashi kiatu pale kijijin kwao kwa mwananchi wa kawaida kabsa Hujaona siku had aligonga kengele shule aliyosomea bila hata walimu kujua kisha kutoka wakamuona ni rais ??? Ukaribu gani unaouzungumzia ???? Uko timamu kabsa mjomba au umetizma mwezi koz leo pasaka !!!
Suala la ulimzi sjui una exposure ya wapi ww !!! Unataka kuzungumzia ulinzi wa zimbabwe au Marekani????? Ulinzi wa uganda au wa Urusi?? Kama mwanzo havikuwepo uvionanvyo ndio maana hata apps zina kuwa up dated we viiipi ??
Hoja yako ni mfu ,,tz haina ulinzi ukilinganisha na mataifa ya nje cheki hata misafar ya viongozi kama kina trump halafu uongee pumba eti kisa Afrika hakuna ulinzi kama uliouzoea ??? Kwann usi update hizo apps zako ??? Wenzako wanabadilika ww umejalia apps ya miaka 20 iliyopita kweli utakuwa na genuine info????
Hatuna cha kujifunza Kenya, nchi haikopesheki ile sababu ya huyo Kenyatta.Nimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Utadhani hawatakufa milele?View attachment 1076787
Usalama Kwanza Mengine baadae!!
Kamanda unakaribia kuwa mwehu. RelaxNimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Makamanda mmeishiwa hoja kabisa. Anyway Magufuli akifanya kama Kenyatta mtakuja na story nyingine. Mnafahamika sanaView attachment 1076787
Usalama Kwanza Mengine baadae!!
Na ndio Rais mlevi kuliko wote nadhaniNimeona hii na kutofautisha na wengine wa East Africa hasa wa kwetu.
Kwa nini hatujifunzi kwake?
Nyie watu hebu wakati mwingine mje mseme kwenu hoja ni nini? Sasa hapo kumekosekanaje hoja ama wewe ndiyo hujaiona hoja ya kujadili?Makamanda mmeishiwa hoja kabisa. Anyway Magufuli akifanya kama Kenyatta mtakuja na story nyingine. Mnafahamika sana