Kenya ''seem to be more democratic'' and not democratic dear! The democratic machinery of Kenya is very complex and they operate secrectly like mafia! They give the Kenyans democracy by one hand and they take it by another hand. Tell me please.. did Kenyatta won the last election? Who killed the head of IT election commission and why he killed him! How the power you said is devolving in between different institutions has helped the democracy of the country. Why are they still inhalling air full of tribalism and division!This is an exaggeration, in fact democratically, Tanzania and Kenya are two countries miles apart.
It's not a secret that today's Tanzania is a dictatorship whereby only one person runs the show and he is not keen to entertain any dissenting voice unlike Kenya where power is devolving in between different institutions.
Needless to say, going by the current trend of affairs it's not possible to draw a parallel between the two guys. Kenyatta is, arguably, a democrat when Magufuli bears all the hallmarks of a brutal despot.
Naunga mkono hoja, kuna viongozi it's easy to talk to, they are very much reachable,
lakini kuna viongozi, they are unreachable unresolvable!Face to Face with Uhuru Kenyatta: Azungumzia Uchaguzi wa Tanzania
Rais Uhuru Kenyatta amewaasa watanzania wachague Kiongozi atakayeweza kuendeleza kazi iliyofanywa na Serikali inayomaliza muda wake, kiongozi huyo aweze kuendeleza muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Pia amesema Serikali inayomaliza muda wake imefanya kazi nzuri, imeleta maendeleo hasa...www.jamiiforums.com
The excuse is security concerns!
Security concerns my foot!.
Tena viongozi wetu ni wa ajabu kweli, tukitoka nao nje ya nchi, they are so reachable!, lakini Bongo, hata kumkaribia tuu, unaonekana kama suicide bomber!.
P.
Aise huwa nashindwa kuwaelewa mtu kama waziri mkuu, makamu wa rais, spika unaanzaje kuwa mnyenyekevu kiasi kile, mtu unamuona kabsa woga ulivyotamaraki.Dah jamaa anamsalimia Mkuu wa nchi huku kakaa kwenye kiti ? Halafu Uhuru hana hata time
Yule wa kwetu sasa tafuta picha siku ameenda kukagua ndege iliyochorwa Twiga uone hao jamaa walivyosimama kwa nidhamu ya uoga dah
Magufuri ni mtu mnafiki sana ukitafakari matendo na kauli anazotoa. Mkuu kilewella nakushukuru kwa kuleta picha hii ili waTz wajue mungu na walinzi nani mwenye nguvu!,. Magufuri anamtania Mungu Bwana wa majeshi, anaomba amlinde wakati huo hamuamini! unafiki mtupu, yaleyale ya kutumia neno "wanyonge" huku akiendelea kuwakandamizaView attachment 1076787
Usalama Kwanza Mengine baadae!!
I will not be able to say, articulately, about who killed who but in all assumptions, the accusing finger is pointed at the powers that be.Kenya ''seem to be more democratic'' and not democratic dear! The democratic machinery of Kenya is very complex and they operate secrectly like mafia! They give the Kenyans democracy by one hand and they take it by another hand. Tell me please.. did Kenyatta won the last election? Who killed the head of IT election commission and why he killed him! How the power you said is devolving in between different institutions has helped the democracy of the country. Why are they still inhalling air full of tribalism and division!
Kuna tofauti ya leaders na rulers. Leader anaonyesha njia kwa kuongoza kwa mifano na kuwa karibu na wananchi, rulers ni kutawala.Kiongozi mzuri ni yule anayetenda kazi.Siyo yule anayepiga soga tu kama alivyokuwa JK.Hatuhitaji awe reachable bila anachokifanya kuonekana
Hebu angalia yeye na Odinga ni wapinzani wa jadi kweli lakini wanaheshimiana maana uhasama wao sio binafsi Bali katika kugombea kuwaongoza watu kwenda kwenye neema
I will not be able to say, articulately, about who killed who but in all assumptions, the accusing finger is pointed at the powers that be.
However, there are some incidents here in Tanzania that can be viewed as similar to those in Kenya especially regarding the disappearance of the likes of Saanane and Azory to which the state is held culpable.
Though the Kenyan election results were disputed, the fact that the complaining party was given the right to dispute them legally shows more democratic Kenya is compared to Tanzania where when the results are declared they're deemed sacrosanct and no one is allowed to challenge them anywhere..!!
About tribalism, I've said before that it's a global problem and no country under the sun that can claim to be free of any sort of tribalism or racism.
Sasa hoja hapo nini?Nyie watu hebu wakati mwingine mje mseme kwenu hoja ni nini? Sasa hapo kumekosekanaje hoja ama wewe ndiyo hujaiona hoja ya kujadili?
Hoja ni kwamba kuna utofauti kati ya Uhuru Kenyatta kwenye kuchangamana na kuchanganyika na wananchi wake tofauti na viongozi wengine wa ukanda huu wa Afrika ya mashariki.Sasa hoja hapo nini?
Ubora wake upo wapi hapo kama wananchi wanakufa njaa na ufisadi kila kona? Ama hatuangalii matendo ya rais kwa tija zake tunaangalia tu hisia zinazo ibuka kwa matendo hayo?Hoja ni kwamba kuna utofauti kati ya Uhuru Kenyatta kwenye kuchangamana na kuchanganyika na wananchi wake tofauti na viongozi wengine wa ukanda huu wa Afrika ya mashariki.
Tanzania watu hawafi njaa. Angalia Muktadha wa mjadala ndiyo uchangie. Hapa halinganishwi jinsi anavyopambana na njaa ya wananchi wake bali alivyo karibu na wananchi hao?Ubora wake upo wapi hapo kama wananchi wanakufa njaa na ufisadi kila kona? Ama hatuangalii matendo ya rais kwa tija zake tunaangalia tu hisia zinazo ibuka kwa matendo hayo?
Kwa uelewa wako, Rais aliye na ukaribu na mwananchi ni yule anaye kaa vijiweni nao ama ni yule ambaye anajitahidi kufuatilia (hata hana masaa ya vijiweni)wafanyakazi wa serikali ili watoe huduma bila ufisadi?Tanzania watu hawafi njaa. Angalia Muktadha wa mjadala ndiyo uchangie. Hapa halinganishwi jinsi anavyopambana na njaa ya wananchi wake bali alivyo karibu na wananchi hao?
Endelea kunywa pombe naona unajibu kwa lugha isiyoeleweka, ukimaliza kubugia vyako na vikiisha kichwani rudia tena kusoma na kutafakari mada ya mtoa hojaKwa uelewa wako, Rais aliye na ukaribu na mwananchi ni yule anaye kaa vijiweni nao ama ni yule ambaye anajitahidi kufuatilia (hata hana masaa ya vijiweni)wafanyakazi wa serikali ili watoe huduma bila ufisadi?
Ungesikia vizuri sana magu akinywa madafu na wewe ama magu akileta maji, umeme na pembejeo kwa kijiji chako?
Naona hata boya kama wewe unaelewa lugha yangu rahisi hadi unani quote. Ahsante kwa maoni yakoEndelea kunywa pombe naona unajibu kwa lugha isiyoeleweka, ukimaliza kubugia vyako na vikiisha kichwani rudia tena kusoma na kutafakari mada ya mtoa hoja
Ni naelewa maana yake, ndio nakuuliza "ukaribu" gani baina ya rais na wananchi una tija? Wakukaa vijiweni mkinywa madafu ama wa utoaji huduma?Mkikuyu- Akili timamu unaelewa maana ya "Muktadha"?