Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

Alipimaga miaka ya 20×× amekutwa ana tena HIV Virus!.
Dawa alizokuwa anakula - inaonekana virus wamemalizwa!!(hapa TZ toka miaka ya 20xx- IPO taasisi ya nje inatoa dawa kwenyejeshi yote ya TZ kwa waarhirika-zile Dawa azijawi kuwa kama zile zinazotolea pale Mwananyamala na wala azifanani nazo ata hizi wanazotoa pale Bigblaza TODATE). Kwa sasa USA Wana Dawa ambazo azikaribishi Maambukizi na pia wanazo ambazo mwenye UKIMWI awezi ambukia mtu mwingine.2020 mapa Leo hii 2-11-2023 USA HIV inakuwa Treated kama Kisukali au Presha!!- yaani HIV aina tena Nguvu ya kusababisha Kifo!! Mtu akiuupata ni kama vile Ana Kisukali (akila dawa na kufuata Masharti ataishi ata miaka 100)
Kampuni yenye dawa za Huakika na zenye kufuata Virus wa HIV kwenye Damu ya Binadamu👉
gilead.com
Gilead Sciences
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…