HAKIKA WANAOKATAA NDOA WANA HOJA, KAMA WAKE WENYEWE NDIYO HAWA?

HAKIKA WANAOKATAA NDOA WANA HOJA, KAMA WAKE WENYEWE NDIYO HAWA?

Vitu viwili hivi ni muhimu saana kwa mwaume..
1. PESA
2. UYAJUE MAHABA, uwe mkazaji mzuri
Ila hiyo haikupi guarantee 💯 ya kutokuchepukiwq, mwanamke anaweza mzimikia mtu kwa kitu kidogo sana, ila ukiwa na hivyo viwili utainjoi dunia.

Ukiwa na pesa tu, huna nguvu za kiume bado ni tatizo kubwa.
ukiwa una nguvu na mahaba unajua ila pesa huna nalo tatizo
Ukiwa navyo vyote, utainjoi saana maisha, sasa kina sisi, pesa hatuna, nguvu za kiume tatizo, dunia ni chungu sana kwetu 😂😂
 
Bado hujawajua wanawake, endelea kujifunza

Hayo uloandika ni mawili kwenye 100,000+
 
Kataa ndoa kwa sababu zako binafsi na si kwa sababu mke wa fulani ana mwenendo usio mzuri, wanawake wenye tabia njema wapo kosa la baadhi usijumuishe wote.
 
Focus on YOU mkuu, binadamu yoyote ataku-disappoint ukimwamini. Kumbuka hakuwa bikra siku ukimuoa, haya ndio madhara ya kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa. Hata sisi wanaume ni same same tu!
Hahahahaha eti same same, umenikumbusha Dubai, neno maarufu sana hilo kule 😂😂😂
 
Bado hujawajua wanawake, endelea kujifunza

Hayo uloandika ni mawili kwenye 100,000+
Ukisoma vizuri utaelewa.. chini nimeandikq, hata ukiwa navyo hivyo vitu viwili, haikupi uhakika wa kutokuchepukiwa mwanamke anaweza chepuka hata uwe na vyote viwili, ila ukweli ni kwamba ukiwa navyo kuna namna utaenjoy mnoooo
 
Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana.

Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni!

Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!

Kuna watu hawawezi kuamini wake zao wanaweza kuwa kama huyu, wanajidanganya, Hawa wanawake wooooooooooote ndo hivi hivi wako.
 
Back
Top Bottom