financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Bado hujawajua wanawake, endelea kujifunzaVitu viwili hivi ni muhimu saana kwa mwaume..
1. PESA
2. UYAJUE MAHABA, uwe mkazaji mzuri
Ila hiyo haikupi guarantee π― ya kutokuchepukiwq, mwanamke anaweza mzimikia mtu kwa kitu kidogo sana, ila ukiwa na hivyo viwili utainjoi dunia.
Ukiwa na pesa tu, huna nguvu za kiume bado ni tatizo kubwa.
ukiwa una nguvu na mahaba unajua ila pesa huna nalo tatizo
Ukiwa navyo vyote, utainjoi saana maisha, sasa kina sisi, pesa hatuna, nguvu za kiume tatizo, dunia ni chungu sana kwetu ππ
Hahahahaha eti same same, umenikumbusha Dubai, neno maarufu sana hilo kule πππFocus on YOU mkuu, binadamu yoyote ataku-disappoint ukimwamini. Kumbuka hakuwa bikra siku ukimuoa, haya ndio madhara ya kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa. Hata sisi wanaume ni same same tu!
Ukisoma vizuri utaelewa.. chini nimeandikq, hata ukiwa navyo hivyo vitu viwili, haikupi uhakika wa kutokuchepukiwa mwanamke anaweza chepuka hata uwe na vyote viwili, ila ukweli ni kwamba ukiwa navyo kuna namna utaenjoy mnooooBado hujawajua wanawake, endelea kujifunza
Hayo uloandika ni mawili kwenye 100,000+
Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana.
Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni!
Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!