ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Washa nyosha mikono, yaani machadema saa hivi yangekuwa yamefunga nchi. Halafu hayajaja hewani kuomba radhi, na mikutano yote hayakuvaa barakoaHalafu humu kuna watu huwa wanalaumu approach ya JPM dhidi ya covid 19. Nawashangaa!