Hakika yametimia sasa ya Kenya na COVID-19

Hakika yametimia sasa ya Kenya na COVID-19

Kuna sehemu wamekosea. Wakati sisi tunahangaika na mungu,kujifukiza,kula malimao n.k..wakasema watanzania wanatumia mbinu za kale KUPAMBANA na ugonjwa wa kisayansi..
Mbaya zaidi wa kamuita magufuli MKAIDI.
SASA WATUAMBIE UTII WA KENYATTA UMEWAFIKISHA WAPI?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hawa hawaijui, Corona ni kama mbwa ukimchekea anakufuata hadi msikitini
 
COVID19 haina dawa wala chanjo na nobody knows itaondoka lini. Waache tu waendelee kufungafunga. Hopefully COVID19 itapatiwa dawa 2026.
 
Mi naomba KQ isifunguliwe japo hata mwezi tu kama ndo itashindikana kua Kwa muda mrefu tuwatie adabu Kwanza maana walishazoea kujalibu siasa zao za chuki wakiona wanaumia wanajifanya kuomba suruhu sasa hv tuwape muda Kwanza wale matunda ya chaguo lao
Kinacho nishangaza ndege zetu zisitue kwao sasa wao huku wanakuja kufanya nini? Si waende Rwanda na huko kwingine waliiko chagua kusikokuwa na corona? Sasa wamebip nakupigiwa sasa limewakaba, watulie tu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kuna on going diplomatic tiff between us bado wanaendelea kuresolve issues za KQ na mengineyo. .... Hii post sidhani kama inasaidia kwa muda huu
Utalii na KQ vinahusiana Nini? Au kigwangala kaitaja nchi gani?
 
Wewe utasubiri sana meli airport..
ulitabiri nini kuhusu tanzania?.
Leo ni mwezi wa ngapi?.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Unaandika kwa hoja ipi? Hii hii ya Kigwangala? Hizi lugha za sovereignty zinatumika magengeni siku hizi?

Jiridhishe kuwa unauhakika na unachoandika ikiwa hata kwenye vyoo tu kuna vya kiume na vya kike pia.
 
Ebu angalia nyuzi ulizoandika miezi mitatu iliyopita.
Ulitabiri nini kuhusu tanzania?
Unaandika kwa hoja ipi? Hii hii ya Kigwangala? Hizi lugha za sovereignty zinatumika magengeni siku hizi?

Jiridhishe kuwa unauhakika na unachoandika ikiwa hata kwenye vyoo tu kuna vya kiume na vya kike pia.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
huyu mzee kanikera sababu anaamsha wajinga usingizini.nasisi lengo letu waenelee kulala tuwapite shaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16].

amenifurahisha sababu ameona ukweli ambao wengine wajinga kwao hawauoni.
 
Unaandika kwa hoja ipi? Hii hii ya Kigwangala? Hizi lugha za sovereignty zinatumika magengeni siku hizi?

Jiridhishe kuwa unauhakika na unachoandika ikiwa hata kwenye vyoo tu kuna vya kiume na vya kike pia.
Mr Corona,bingwa wa kupiga ramli,miezi zaidi ya mitatu unapiga ramli,endelea kupiga ramli.
 
Kagwe ni health Cs, mshenzi macharia ndio wa transport .... Walishazungumza bwana he comfirm earlier this week
Hahaha macharia amejisafisha,ukweli Ni bado Tanzania hawajafuta barua yao
 
Kigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.
Kwani kigwagala anekosa nini? Mbn aliye post ni mwingine vipi ushutum km huelew siunajlz su kupotezea tu
 
Kigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.
Hawezi acha, soma account yake imejaa mipasho.
 
Back
Top Bottom