luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #61
Ila kiukweli Kenya ni selfish sana unajua kwann? Tazama Tz tumenunua ndege lkn hatukuanzisha route za Nairobi, lkn KQ walikuwa wana piga tu route za KE to Tz to & from route 4, tazama UG walivyonunua tu ndege wakaanzisha route za Kampala to Nairobi to and from . Tuliwasamini ila wao hawakuoma dhamani yetu kwao.Hahaha macharia amejisafisha,ukweli Ni bado Tanzania hawajafuta barua yao