Washa nyosha mikono, yaani machadema saa hivi yangekuwa yamefunga nchi. Halafu hayajaja hewani kuomba radhi, na mikutano yote hayakuvaa barakoaHalafu humu kuna watu huwa wanalaumu approach ya JPM dhidi ya covid 19. Nawashangaa!
Waache kutangaza. Kwani numbe ya wanaopimwa na kuonekana positive malaria huwa wanatanganzwa kila siku ?Corrona itakuwepo kwa muda mrefu. Sasa wadeal nayo kwa akili.Huo muda waliotangaza unatosha. Wadeal nayo kimya kimya ili kuondoa panic.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].wakati kila siku namba ya wagonjwa inapaa.
HAO BADOOO.
yaani huu ni mwanzo wa movie.hata stering hajazaliwa.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Waache kutangaza. Kwani numbe ya wanaopimwa na kuonekana positive malaria huwa wanatanganzwa kila siku ?Corrona itakuwepo kwa muda mrefu. Sasa wadeal nayo kwa akili.Huo muda waliotangaza unatosha. Wadeal nayo kimya kimya ili kuondoa panic.
Halafu humu kuna watu huwa wanalaumu approach ya JPM dhidi ya covid 19. Nawashangaa!
Eng.Kamwelwe hapokei simu za mutahi kagwe!Kuna on going diplomatic tiff between us bado wanaendelea kuresolve issues za KQ na mengineyo. .... Hii post sidhani kama inasaidia kwa muda huu
Wakenya walisahau kuwa Babu zao pia waliwahi kutumia njia za asili kupambana na magonjwa Kama haya,matokeo yake kina MK254 wanapita humu kimya kimyaKuna sehemu wamekosea. Wakati sisi tunahangaika na mungu,kujifukiza,kula malimao n.k..wakasema watanzania wanatumia mbinu za kale KUPAMBANA na ugonjwa wa kisayansi..
Mbaya zaidi wa kamuita magufuli MKAIDI.
SASA WATUAMBIE UTII WA KENYATTA UMEWAFIKISHA WAPI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Aisee huu msemo washa uacha kitambo sasa hausikiki kwenye vinywa vyao. Kila siku walikuwa wanatoa video ya magufuri mkaidi. Kenyata mtiifu kwa mabeberu anakopa na kukuza himaya ya akaunti yake tu.Kuna sehemu wamekosea. Wakati sisi tunahangaika na mungu,kujifukiza,kula malimao n.k..wakasema watanzania wanatumia mbinu za kale KUPAMBANA na ugonjwa wa kisayansi..
Mbaya zaidi wa kamuita magufuli MKAIDI.
SASA WATUAMBIE UTII WA KENYATTA UMEWAFIKISHA WAPI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yuko jimboni anatafta kura, wasubiri tumalize uchaguziEng.Kamwelwe hapokei simu za mutahi kagwe!
Anawasimanga wakenya kule TwitterHuyo jamaa ameshawaka kigwangala kafikaje kwenye hiyo video?
Kagwe ni health Cs, mshenzi macharia ndio wa transport . Walishazungumza bwana he comfirm earlier this weekEng.Kamwelwe hapokei simu za mutahi kagwe!
Waongo hao, umeiona KQ Tanzania?Kagwe ni health Cs, mshenzi macharia ndio wa transport .... Walishazungumza bwana he comfirm earlier this week
Lets wait and seeWaongo hao, umeiona KQ Tanzania?
Leo siku ya sitaLets wait and see
Haaaa haaa kweli wasubili tumalize uchaguzi , wenyewe wako na kizungu safi [emoji23][emoji23]Yuko jimboni anatafta kura, wasubiri tumalize uchaguzi
Anashughulikia barabara huko kusini, hizo akili za bangi na milungi zinampotezea muda, wao waendelee kuwekwa lockdown mpaka mwakani, si wanataka kupunguza idadi ya watu wao!Eng.Kamwelwe hapokei simu za mutahi kagwe!
Mi naomba KQ isifunguliwe japo hata mwezi tu kama ndo itashindikana kua Kwa muda mrefu tuwatie adabu Kwanza maana walishazoea kujalibu siasa zao za chuki wakiona wanaumia wanajifanya kuomba suruhu sasa hv tuwape muda Kwanza wale matunda ya chaguo laoAnashughulikia barabara huko kusini, hizo akili za bangi na milungi zinampotezea muda, wao waendelee kuwekwa lockdown mpaka mwakani, si wanataka kupunguza idadi ya watu wao!