Hawa hawaijui, Corona ni kama mbwa ukimchekea anakufuata hadi msikitiniKuna sehemu wamekosea. Wakati sisi tunahangaika na mungu,kujifukiza,kula malimao n.k..wakasema watanzania wanatumia mbinu za kale KUPAMBANA na ugonjwa wa kisayansi..
Mbaya zaidi wa kamuita magufuli MKAIDI.
SASA WATUAMBIE UTII WA KENYATTA UMEWAFIKISHA WAPI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kinacho nishangaza ndege zetu zisitue kwao sasa wao huku wanakuja kufanya nini? Si waende Rwanda na huko kwingine waliiko chagua kusikokuwa na corona? Sasa wamebip nakupigiwa sasa limewakaba, watulie tuMi naomba KQ isifunguliwe japo hata mwezi tu kama ndo itashindikana kua Kwa muda mrefu tuwatie adabu Kwanza maana walishazoea kujalibu siasa zao za chuki wakiona wanaumia wanajifanya kuomba suruhu sasa hv tuwape muda Kwanza wale matunda ya chaguo lao
Kosa la Kigwangala ni kushindwa kujizatiti vilivyo kunakomhusu na kamwachia Ngoswe ya kwake:
Tanzania, Kenya kama mataifa huru ya kongole kwenu
Utalii na KQ vinahusiana Nini? Au kigwangala kaitaja nchi gani?Kuna on going diplomatic tiff between us bado wanaendelea kuresolve issues za KQ na mengineyo. .... Hii post sidhani kama inasaidia kwa muda huu
Korona ni mbwa koko usipo mjua kuwa ni koko lazima hakutoe maviiHawa hawaijui, Corona ni kama mbwa ukimchekea anakufuata hadi msikitini
Wewe utasubiri sana meli airport..
ulitabiri nini kuhusu tanzania?.
Leo ni mwezi wa ngapi?.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Unaandika kwa hoja ipi? Hii hii ya Kigwangala? Hizi lugha za sovereignty zinatumika magengeni siku hizi?
Jiridhishe kuwa unauhakika na unachoandika ikiwa hata kwenye vyoo tu kuna vya kiume na vya kike pia.
Hawa wanamadharau sana acha tuwafokeeUsiwafokee mkuu
Mr Corona,bingwa wa kupiga ramli,miezi zaidi ya mitatu unapiga ramli,endelea kupiga ramli.Unaandika kwa hoja ipi? Hii hii ya Kigwangala? Hizi lugha za sovereignty zinatumika magengeni siku hizi?
Jiridhishe kuwa unauhakika na unachoandika ikiwa hata kwenye vyoo tu kuna vya kiume na vya kike pia.
Wakenya mna nyege za ajabu ndo maana walinzi wa kambi za wenye corona wanakamatwa wanawabaka wagonjwa.Mwanamke wewe huwa unanipa nyege sana.
Huyu jamaa ni kama anaipenda sana corona, nachojiuliza kwanini asihamie Kenya akaipateMr Corona,bingwa wa kupiga ramli,miezi zaidi ya mitatu unapiga ramli,endelea kupiga ramli.
Hahaha macharia amejisafisha,ukweli Ni bado Tanzania hawajafuta barua yaoKagwe ni health Cs, mshenzi macharia ndio wa transport .... Walishazungumza bwana he comfirm earlier this week
Macharia amelikorogaLets wait and see
Eng.Kamwelwe hapokei simu za mutahi kagwe!
Kwani kigwagala anekosa nini? Mbn aliye post ni mwingine vipi ushutum km huelew siunajlz su kupotezea tuKigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.
Hawezi acha, soma account yake imejaa mipasho.Kigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.