Ila kiukweli Kenya ni selfish sana unajua kwann? Tazama Tz tumenunua ndege lkn hatukuanzisha route za Nairobi, lkn KQ walikuwa wana piga tu route za KE to Tz to & from route 4, tazama UG walivyonunua tu ndege wakaanzisha route za Kampala to Nairobi to and from . Tuliwasamini ila wao hawakuoma dhamani yetu kwao.