MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
Usijesema hukuambiwa