Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

1.asiekunywa pombe (sio mlevi)
2.mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7.mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.
10.
11..

Rekebisha kichwa cha habari
Andika mwanamke maskini usikubali kuolewa na mwanaume wa Aina hii
 
1.asiekunywa pombe (sio mlevi)
2.mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7.mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.
10.
11..
Wewe aliyekuoa ana sifa zipi.?
 
Wapi uliona dada tajiri anaolewa? Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuoa na kuoana

Hayo mambo yote aliyoandika ni ya mwanamke ambae Hana uwezo wa kujitegemea mwenyewe for anything

Wanawake wa hivyo ndio wanakuwa na hayo mawazo
 
1.asiekunywa pombe (sio mlevi)
2.mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7.mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.
10.
11..
Wewe umeolewaaa na sample ipi dada...
 
Mwenye hofu ya Mungu ndiyo mtu wa namna gani, maana naona kamsemo haka kanataka kujengewa mazoea hata na watu wasio elewa maana yake!

Nimeuliza hilo swali nipewe jibu yakinifu.

Vinginevyo nitajua kuwa haujui maana yake.
 
1.asiekunywa pombe (sio mlevi)
2.mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7.mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.
10.
11..

Usijesema hukuambiwa
Mkuu sisi wafupi tumekukosea nini?!!!
 
Back
Top Bottom