Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Mwenye hofu ya Mungu ndiyo mtu wa namna gani, maana naona kamsemo haka kanataka kujengewa mazoea hata na watu wasio elewa maana yake!

Nimeuliza hilo swali nipewe jibu yakinifu.

Vinginevyo nitajua kuwa haujui maana yake.
Mimi nipo kulewa, sina muda wa kuandika maandishi marefu
20220730_194306.jpg
 
1.asiekunywa pombe (sio mlevi)
2.mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7.mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.
10.
11..

Usijesema hukuambiwa
Broo naomba tuheshimiane.
 
Hadi unaweka nadhiri inamaana wwe pombe unaipenda sana,sema inakutesa sana baada ya kuinywa,kwa hiyo unajilazimisha kuicha kwa nguvu sana kwa kutumia viapo ambavyo ndiyo nadhari yenyewe ili ujitishe mwenyewe na viapo vyako!!
Sijawahi kunywa tangu nizaliwe.
 
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.
Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Youngblood
Baba Swalehe
Mmefikiwa huku
 
Back
Top Bottom