Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
10.
11..

Usijesema hukuambiwa
Mpumbavu sana wewe tena kenge kabisa, unapotosha wadada
 
Mlevi yuko radhi akununulie pombe na si chakula
hapo ndipo hatukuelewana kumbe

sizungumzi walevi nawazungumzia mabroo ambao

wana kazi zao wa ndinga zao wikiend wanakutana sehemu kubadilishana connections na madili kibao

sizungumzi wanywa pombe za buku jero bro

wale mimi siwaungi mkono
 
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
10.
11..

Usijesema hukuambiwa
Mfupi ana tatizo gani?
 
🤣🤣🤣 Why not daktari?
Hizo career nyingine 😷
 
Hiyo namba 8 tutolee ufafanuzi
 
Back
Top Bottom