Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari

Usijesema hukuambiwa
 
We kumbe haujui. Mfupi ndio aliegundua ngazi ndio maana tunapata vitu virefu, sasa mimi mfupi na miliki warembo warefu. Usijui umenisoma?
 
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari

Usijesema hukuambiwa
Tupe sifa za mumeo ili kina dada ambao hawajaolewa wajue yaliyomo.
 
Back
Top Bottom