Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Yaani mtu namchungulia utosini
Kwanza alikuja na pigo za kishamba

Eti karibu ofisini kwetu
Hapo ndipo ofisini kwetu
Namuuliza wapi?ananionyesha hapo

Asichojua Mimi ndio nilikuwa nimetoka humo na watu wote nawajua yeye sijawahi kumuona.

Ndio kakaja kuomba namba
Kafupo yaani
Utadhani mtu na shangazi yake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wohiiiii.!!
Ila shortmen wasumbufu sana..!

Sasa hapo ungekaacha katume afu tatu uone balaa lake 😹😹
 
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari

Usijesema hukuambiwa
Akifuata ushauri wako hapati mme bora achague hapo hapo ili akambadilishe😆😆😆😆
 
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari

Usijesema hukuambiwa
Sasa watawaoa kina nani?
 
Pia hakiisha huowi mwanamke wa aina hii
1.Mlevi
2.Nywele na kucha bandia
3.Anayeshinda kwenye mitandao muda wote na kila mtandao wa kijamii yumo.
4.Mwenye kiji elimu wengi wao hutaka kuleta mambo ya 50/50 na ujuwaji mwingi.
5.Mwenye marafiki wengi wa kiume.
6.Anayependa mitoko wiki endi tena ukute yeye ndiyo anapendekeza kutolewa out.
7.Anayefanya kazi za shift za kuingia usiku na kulala huko huko.
8.Anayevaa nguo za kubana na kuonyesha maungo yake kwa wanaume.
9.Mbishi na mjuwaji asiyekubali kuelekezwa na mwanaume mara moja jambo.
10.Bila kuwa sahau wale wa chora tatoo na wavaa vikuku na blich au rangi rangi kichwani.
Kati ya hao ukijichanganya nao umekwenda na maji labda kupiga na kusepa tuu ila si kwa matumizi ya maisha na kujenga Familia. Kama unazo zingine ongeza.
11. Mwanamke mfupi, wana gubu sana na wanaongea/kulalamika usiku kucha
 
wapi alikuwa mlevi?
Amesema mnywa pombe sio mlevi.
Katika desturi za dini ya kiyahudi walikuwa wanakunywa kwenye sherehe na sikukuu au na chakula.

Daudi ni kweli alikuwa mnwaji mzuri tu wa wine, wine si pombe?
Au mnywa pombe hadi anywe Konyagi ndipo ieleweke ni pombe?
 
Back
Top Bottom