Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wohiiiii.!!Yaani mtu namchungulia utosini
Kwanza alikuja na pigo za kishamba
Eti karibu ofisini kwetu
Hapo ndipo ofisini kwetu
Namuuliza wapi?ananionyesha hapo
Asichojua Mimi ndio nilikuwa nimetoka humo na watu wote nawajua yeye sijawahi kumuona.
Ndio kakaja kuomba namba
Kafupo yaani
Utadhani mtu na shangazi yake.
Ila shortmen wasumbufu sana..!
Sasa hapo ungekaacha katume afu tatu uone balaa lake 😹😹