Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Pia hakiisha huowi mwanamke wa aina hii1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
Usijesema hukuambiwa
1.Mlevi
2.Nywele na kucha bandia
3.Anayeshinda kwenye mitandao muda wote na kila mtandao wa kijamii yumo.
4.Mwenye kiji elimu wengi wao hutaka kuleta mambo ya 50/50 na ujuwaji mwingi.
5.Mwenye marafiki wengi wa kiume.
6.Anayependa mitoko wiki endi tena ukute yeye ndiyo anapendekeza kutolewa out.
7.Anayefanya kazi za shift za kuingia usiku na kulala huko huko.
8.Anayevaa nguo za kubana na kuonyesha maungo yake kwa wanaume.
9.Mbishi na mjuwaji asiyekubali kuelekezwa na mwanaume mara moja jambo.
10.Bila kuwa sahau wale wa chora tatoo na wavaa vikuku na blich au rangi rangi kichwani.
Kati ya hao ukijichanganya nao umekwenda na maji labda kupiga na kusepa tuu ila si kwa matumizi ya maisha na kujenga Familia. Kama unazo zingine ongeza.