zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kwa hio uanamume ni kunywa pombe? Pombe ni kilevi je akitumia kilevi tofauti na pombe unasemaje hapo?Seriously unakuaje mwanaume af hunywi pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio uanamume ni kunywa pombe? Pombe ni kilevi je akitumia kilevi tofauti na pombe unasemaje hapo?Seriously unakuaje mwanaume af hunywi pombe
Namba 9 umeuwa kaka😂1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
Usijesema hukuambiwa
Inshort asioelewe na mwanaume yoyote, maana hakuna mwanaume asiepo kwenye hilo kundi1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
Usijesema hukuambiwa
Rudisha ile avatar, hii inanitisha.Uzuri tu najua nimebalance, watoto hawatakuwa wafupi kama mimi, ulivyopanda hewani imesaidia.😀😀😀
Inawezekana kabisaMwenye hofu ya Mungu wakati huo awe mlevi,😆
Tuongelee ufupi wangu na urefu wako kwanza😅😅😅Rudisha ile avatar, hii inanitisha.
Huyu mwanamme yupo?1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
Usijesema hukuambiwa
Mimi sio mrefu🤣Tuongelee ufupi wangu na urefu wako kwanza😅😅😅
Saivi anatembeza madafu huko posta hataona baadae akija kupata alqasus tamwambiaMbon hujamtag Manyanza aone hii😌😌
lazima aone bwan itasaidia kutuheshimeSaivi anatembeza madafu huko posta hataona baadae akija kupata alqasus tamwambia
Kitu kinawatesa lakini mnarudia tena. Kuna siri gani kwenye pombe?Pombe inavyotesa, ningekuwa najuwa iko hivi nisingejaribu kuionja.
Nadhani mtoa mada sio mwanamke Wala mwanaume, ni jinsia nyingine.1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
Usijesema hukuambiwa
Kwa sababu sikujui, sio?Mimi sio mrefu🤣