Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Kwa kweli una uzoefu wa kutosha wote hao washakuoa na kuachika aisee. Hizo ndoa zilikuwa zinadumu kwa muda gani dada?
 
Ulitakiwa ufe singo, basi tu nilikuonea huruma🤣🤣🤣🤣
Uzuri tu najua nimebalance, watoto hawatakuwa wafupi kama mimi, ulivyopanda hewani imesaidia.😀😀😀
 
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari

Usijesema hukuambiwa
Watu kama wewe ni wale wenye strese sana. You will be fine! You will be fine!
 
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari

Usijesema hukuambiwa
hahaa hapo kwenye mfupi umemalza kaz 😄 nisiseme sana nikamalza. 😅
 
Back
Top Bottom