Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake.

Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo dume, Inasema; ndani ya familia asiwepo wa kujifananisha, kujilinganisha na wewe(Baba).

Yeyote Yule atakayeingia ndani ya familia yako aielewe kanuni hiyo kwamba humu ndani wewe ndio the top na hakuna wakufanana na kulinganishwa na wewe, iwe ni Baba yako mzazi au Mama yako mzazi akija kukutembelea, iwe ni Wakwe zako wakija kukutembelea, iwe ni ndugu, jamaa au rafiki waijue kanuni hiyo kuwa wewe ndiye top ambaye hakuna wa kufananishwa wala kulinganishwa nawe.

Mwanamke uliyemuoa asijilinganishe na wewe Kwa lolote lile, umwambie na atambue kuwa Hilo litahesabika Kama kosa kubwa la jinai endapo atafanya hivyo. Mwambie hutovumilia Jambo hilo likifanyika, na hutosita kuchukua hatua Kali za kinidhamu Kwa kutananishwa na kulinganishwa na mtu mwingine.

Wewe ni mwanaume, usipende kusikiliza visauti vya kipuuzi kutoka nje,
Mtu yeyote anayetia mashaka uwezo wako akiwa ndani ya familia yako usisite kumkabili ikiwezekana kumfukuza katika nyumba yako.

Mwanaume Jambo kubwa kwake ni kuamini uwezo wake wa kiakili, hisia na kiroho. Ndio maana ukitoa maamuzi asiwepo ndani ya Nyumba wa kuthubutu hata kufikiri kuyapinga.

Taikon huwaga nawashauri Vijana, na Mimi huo ndio msimamo wangu kuwa, Endapo mwanamke utakubali kuolewa na Mimi basi ukae ukijua utafuata amri, maagizo na kanuni zote utakazo zikuta ndani ya nyumba au Mfumo wangu.
Hutaki unakaa pembeni, sijakulazimisha kukuoa, na haupo pekeako Kama Mimi nisivyopekeangu, hivyo kila mmoja anayoruhusa na Uhuru wa kuchagua type na hadhi yake.

Linapokuja suala la ndoa, mwanaume usipende kuamuliwa amuliwa Kama Mpumbavu Fulani hivi. Wewe ndiye muamuzi iweje uamuliwe?

Ati unachelewa Kurudi nyumbani usiku, mwanamke naye anachelewa alafu anakuambia mbona wewe nawe unachelewaga, huyo angekutana na watu Kama Mimi wala asingethubutu kufikiri Kwa namna hiyo. Maana maneno hayo ni kujilinganisha na kujifananisha na wewe.

Mwambie kabisa mwanamke kabla hujamuoa, waambie wazazi wake, Kama ni kanisani siku ya kiapo eleza kabisa kuwa Mimi sio kifo tuu kitatutenganisha Bali hata mwanamke Msaliti na mchawi sitamvumilia, nitamfukuza, nitaachana naye, na hili nilimueleza tangu tukiwa hatujasimama mbele zenu.
Waambie, onyesha wewe ni mwanaume na falsafa yako watu waijue, usifikiri watu watakuelewaje Kwa maana hawana lolote la kufanya katika utawala wako. Wewe nimtu huru unayeongoza maisha yako, na sio maisha yako yanaongozwa na watu wengine, aidha waliopo au waliokufa ambao wameacha maagizo kwenye maandiko. Unajiongoza mwenyewe.

Ndugu Vijana, usiogope kuachwa, usisite kuacha wala kuogopa kuacha mtu asiyejitambua na asiyetaka kuheshimu mamlaka yako. Ni Kheri uishi mwenyewe kuliko kuishi na nyoka ndani ya nyumba.

Usiogope kuishi mwenyewe, bila mke wala bila ya watoto, usiogope hilo ni Jambo la kawaida Sana Kwa mwanaume.

Wewe ni serikali binafsi. Ndani ya serikali hata wasaliti hawavumiliwi hata kidogo, wanafukuzwa.

Usiwasikilize hawa watu WA siku hizi wanaojifanya sijui watu wa kisasa, hakuna usasa hapo zaidi ya upuuzi.
Linapokuja suala la Utawala wako lazima uweke maslahi yako mbele Kama Mwanaume.

Mpende mwanamke anayekupenda, anayetii na kufuata sheria za himaya yako. Mfanye ajione ni mwenye bahati, mtunze, MPE heshima yake Kama malkia katika utawala wako.
Lakini kamwe na katu usimuendekeze mwanamke Mpumbavu asiyejielewa, anayejifanya naye anasheria zake.
Mwanamke Hana sheria Ila anapaswa kufuata sheria, amri na maagizo tuu ya mwanaume.

Akijifanya anavisheria vyake timua, akitaka Ligi muonyeshe wewe ni mwanaume ili awe mfano Kwa jamii na kizazi kingine.

Naongea navijana wanaotaka kuwa wanaume kamili, na wala siongei na wanaume madume jike ambayo kitabia yapo softi softi na hulka ya kike.

Kwenye Dini Tumia Dini kulinda Uanaume wako.
Kwenye sheria tumia sheria kulinda Uanaume wako,
Kwenye Akili tumia akili kulinda Uanaume wako,
Kwenye nguvu tumia nguvu kulinda Uanaume wako.
Kwenye Pesa tumia pesa kulinda Uanaume wako
Kwenye uovu tumia Uovu kulinda Uanaume wako.

Achana na wenye fikra kuwa, mbona wanaume wanalala na wanawake wengine, mwanaume halinganishwi na Mwanamke na kamwe huwezi msikia mwanaume akijilinganisha na Mwanamke.

Nafahamu wanaume asili yetu sio waongeaji, isipokuwa watu wa vitendo. Lakini ni Haki kabisa mwanamke kujua sheria na kanuni zako kabla hajaingia kwenye Ndoa yenu. Usije ukamdhulumu kuwa hukumwambia.

Zaidi, tenda Kwa hekima na busara, lakini kamwe usisahau haki, mpe mwanamke Raha anayestahili kupewa Raha na huyu ni Yule anayekutii na kufuata maagizo yako.

Lakini kama hafuati maagizo yako hata angekuwa ndani ya ndoa miaka ishirini na mnawatoto hata Saba kamwe usimpe Raha mtu asiyestahili Raha. Usijali kuhusu Watoto, usijali kuhusu jamii, usijali kuhusu lolote, Hali heshima yako.

Watoto kamwe hawatakuja kukusaidia lolote Bali heshima yako ndio itakayokusaidia huko mbeleni ndio maana unapaswa uilinde kuliko kitu chochote.

Sio ajabu mwanaume anapaswa kufukuza hata watoto wake ikiwa wataleta Nyenyenye! Wataleta mambo ya kipuuzi, unafukuza, hii itakusaidia mbeleni.

Usipokuwa na Roho ya kiume alafu wewe ni mwanaume nakuhakikishia utateseka Sana,

Ipo tabia ya wazazi wakiume siku hizi ati nao wanajifanya kujipendekeza Kwa watoto hata kama wanavunjiwa heshima zao kisa kutaka kupendwa, looh! Mwanaume mzima unatafuta kupendwa? Nakuhakikishia Kama unatabia hiyo lazima uhenyeshwe huko mbeleni.
Watoto watamzingatia Mama Yao kuliko kukuzingatia wewe Kwa upuuzi wako.

Heshima ya Baba ndio humlinda mpaka uzeeni, na mpaka kaburini.
Na upendo wa Mama ndio humlinda mpaka uzeeni na mpaka kaburini.

Nimemaliza!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
sijakulazimisha kukuoa, na haupo pekeako Kama Mimi nisivyopekeangu, hivyo kila mmoja anayoruhusa na Uhuru wa kuchagua type na hadhi yake.
Bwana Robert wewe si ndio ile ya hatutaachana mpk kifo kitakapotutenganisha ...!!!! Au leo umekuwa Kiranga pro max
 
Mimi ni Mkristo Safi kabisa, Ila nafuata kilichoandikwa sio kinachosemwa na Wachungaji au mtu yeyote.

Pia Kama kilichoandikwa nitakipima na kukiona kinahitilafu Kwa upeo wangu pia sikifuati.

Mimi ni mtu Huru, ndio maana elimu kwangu haina mipaka, nasoma Biblia, Quran, na vitabu vingine vya kiroho, kimwili na Fictions.

Ninachozingatia ni Logic tuu.
 
Naunga mkono hoja. alishajua mapema sana na mpaka leo anaendelea kujua.

Bora wanichukie lakini waujue msimamo wangu, na jambo zuri nililokuja kujifunza hakuna kisichozoeleka, hata huo msimamo wanaouona mgumu ipo siku watauzoea na maisha yataendelea tu kwa furaha.
 
Kwema Wakuu!

Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake.

Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo dume, Inasema; ndani ya familia asiwepo wa kujifananisha, kujilinganisha na wewe(Baba).

Yeyote Yule atakayeingia ndani ya familia yako aielewe kanuni hiyo kwamba humu ndani wewe ndio the top na hakuna wakufanana na kulinganishwa na wewe, iwe ni Baba yako mzazi au Mama yako mzazi akija kukutembelea, iwe ni Wakwe zako wakija kukutembelea, iwe ni ndugu, jamaa au rafiki waijue kanuni hiyo kuwa wewe ndiye top ambaye hakuna wa kufananishwa wala kulinganishwa nawe.

Mwanamke uliyemuoa asijilinganishe na wewe Kwa lolote lile, umwambie na atambue kuwa Hilo litahesabika Kama kosa kubwa la jinai endapo atafanya hivyo. Mwambie hutovumilia Jambo hilo likifanyika, na hutosita kuchukua hatua Kali za kinidhamu Kwa kutananishwa na kulinganishwa na mtu mwingine.

Wewe ni mwanaume, usipende kusikiliza visauti vya kipuuzi kutoka nje,
Mtu yeyote anayetia mashaka uwezo wako akiwa ndani ya familia yako usisite kumkabili ikiwezekana kumfukuza katika nyumba yako.

Mwanaume Jambo kubwa kwake ni kuamini uwezo wake wa kiakili, hisia na kiroho. Ndio maana ukitoa maamuzi asiwepo ndani ya Nyumba wa kuthubutu hata kufikiri kuyapinga.

Taikon huwaga nawashauri Vijana, na Mimi huo ndio msimamo wangu kuwa, Endapo mwanamke utakubali kuolewa na Mimi basi ukae ukijua utafuata amri, maagizo na kanuni zote utakazo zikuta ndani ya nyumba au Mfumo wangu.
Hutaki unakaa pembeni, sijakulazimisha kukuoa, na haupo pekeako Kama Mimi nisivyopekeangu, hivyo kila mmoja anayoruhusa na Uhuru wa kuchagua type na hadhi yake.

Linapokuja suala la ndoa, mwanaume usipende kuamuliwa amuliwa Kama Mpumbavu Fulani hivi. Wewe ndiye muamuzi iweje uamuliwe?

Ati unachelewa Kurudi nyumbani usiku, mwanamke naye anachelewa alafu anakuambia mbona wewe nawe unachelewaga, huyo angekutana na watu Kama Mimi wala asingethubutu kufikiri Kwa namna hiyo. Maana maneno hayo ni kujilinganisha na kujifananisha na wewe.

Mwambie kabisa mwanamke kabla hujamuoa, waambie wazazi wake, Kama ni kanisani siku ya kiapo eleza kabisa kuwa Mimi sio kifo tuu kitatutenganisha Bali hata mwanamke Msaliti na mchawi sitamvumilia, nitamfukuza, nitaachana naye, na hili nilimueleza tangu tukiwa hatujasimama mbele zenu.
Waambie, onyesha wewe ni mwanaume na falsafa yako watu waijue, usifikiri watu watakuelewaje Kwa maana hawana lolote la kufanya katika utawala wako. Wewe nimtu huru unayeongoza maisha yako, na sio maisha yako yanaongozwa na watu wengine, aidha waliopo au waliokufa ambao wameacha maagizo kwenye maandiko. Unajiongoza mwenyewe.

Ndugu Vijana, usiogope kuachwa, usisite kuacha wala kuogopa kuacha mtu asiyejitambua na asiyetaka kuheshimu mamlaka yako. Ni Kheri uishi mwenyewe kuliko kuishi na nyoka ndani ya nyumba.

Usiogope kuishi mwenyewe, bila mke wala bila ya watoto, usiogope hilo ni Jambo la kawaida Sana Kwa mwanaume.

Wewe ni serikali binafsi. Ndani ya serikali hata wasaliti hawavumiliwi hata kidogo, wanafukuzwa.

Usiwasikilize hawa watu WA siku hizi wanaojifanya sijui watu wa kisasa, hakuna usasa hapo zaidi ya upuuzi.
Linapokuja suala la Utawala wako lazima uweke maslahi yako mbele Kama Mwanaume.

Mpende mwanamke anayekupenda, anayetii na kufuata sheria za himaya yako. Mfanye ajione ni mwenye bahati, mtunze, MPE heshima yake Kama malkia katika utawala wako.
Lakini kamwe na katu usimuendekeze mwanamke Mpumbavu asiyejielewa, anayejifanya naye anasheria zake.
Mwanamke Hana sheria Ila anapaswa kufuata sheria, amri na maagizo tuu ya mwanaume.

Akijifanya anavisheria vyake timua, akitaka Ligi muonyeshe wewe ni mwanaume ili awe mfano Kwa jamii na kizazi kingine.

Naongea navijana wanaotaka kuwa wanaume kamili, na wala siongei na wanaume madume jike ambayo kitabia yapo softi softi na hulka ya kike.

Kwenye Dini Tumia Dini kulinda Uanaume wako.
Kwenye sheria tumia sheria kulinda Uanaume wako,
Kwenye Akili tumia akili kulinda Uanaume wako,
Kwenye nguvu tumia nguvu kulinda Uanaume wako.
Kwenye Pesa tumia pesa kulinda Uanaume wako
Kwenye uovu tumia Uovu kulinda Uanaume wako.

Achana na wenye fikra kuwa, mbona wanaume wanalala na wanawake wengine, mwanaume halinganishwi na Mwanamke na kamwe huwezi msikia mwanaume akijilinganisha na Mwanamke.

Nafahamu wanaume asili yetu sio waongeaji, isipokuwa watu wa vitendo. Lakini ni Haki kabisa mwanamke kujua sheria na kanuni zako kabla hajaingia kwenye Ndoa yenu. Usije ukamdhulumu kuwa hukumwambia.

Zaidi, tenda Kwa hekima na busara, lakini kamwe usisahau haki, mpe mwanamke Raha anayestahili kupewa Raha na huyu ni Yule anayekutii na kufuata maagizo yako.

Lakini kama hafuati maagizo yako hata angekuwa ndani ya ndoa miaka ishirini na mnawatoto hata Saba kamwe usimpe Raha mtu asiyestahili Raha. Usijali kuhusu Watoto, usijali kuhusu jamii, usijali kuhusu lolote, Hali heshima yako.

Watoto kamwe hawatakuja kukusaidia lolote Bali heshima yako ndio itakayokusaidia huko mbeleni ndio maana unapaswa uilinde kuliko kitu chochote.

Sio ajabu mwanaume anapaswa kufukuza hata watoto wake ikiwa wataleta Nyenyenye! Wataleta mambo ya kipuuzi, unafukuza, hii itakusaidia mbeleni.

Usipokuwa na Roho ya kiume alafu wewe ni mwanaume nakuhakikishia utateseka Sana,

Ipo tabia ya wazazi wakiume siku hizi ati nao wanajifanya kujipendekeza Kwa watoto hata kama wanavunjiwa heshima zao kisa kutaka kupendwa, looh! Mwanaume mzima unatafuta kupendwa? Nakuhakikishia Kama unatabia hiyo lazima uhenyeshwe huko mbeleni.
Watoto watamzingatia Mama Yao kuliko kukuzingatia wewe Kwa upuuzi wako.

Heshima ya Baba ndio humlinda mpaka uzeeni, na mpaka kaburini.
Na upendo wa Mama ndio humlinda mpaka uzeeni na mpaka kaburini.

Nimemaliza!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Useless
 
Back
Top Bottom