Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

Apo kwa swala la watoto ni facts,wanaume wenzangu tuzingatie hilo,Baba siku zote ni mkali usitegemee kupendwa kwa kujipendekeza kwa watoto,upendo mwachie mama.Ata ujipendekeze vp tena kwa watoto wa kiume hata siku moja hawawez kukuheshim
 
Nimeshaeleza,
Mwanaume hasaliti, halinganishwi!

Huwaga nashauri Kama mke mmoja hakutoshi mwanaume unaweza OA hata Mia moja.

Hiii ni Kwa wenye hulka ya madume.
Ewaaaa...oa rasmi kbs utambulike we mtu wa mitala,oa hudumia na uwatulize wote
Unajificha ficha nini na we ni kidume bwana
 
Wanaoingia kwenye ndoa wauze jina then wafukuzwe tunawasaidiaje ili watishike kidogo mkuu?
 
Mwamba nimekukubali, nilishajisemea hata Mimi mke anicheat anavyojua tu lkn siku nikijua na akajua nimejua,,, sitamfukuza lakini najua ipo siku atabeba vyake aondoke mwenyewe.
 
Unaweza ukapinga tuu Mkuu.

Sio kosa najua kuna watu wenye mtazamo tofauti
How old are you boy?! Naonaga unapuyanga tu JF, blah blah. You are too naive to know how the world rolls. Keep on learning silently, stop noisy.
Ushauri Wa bure huo nakupa. Usiendelee kujiaibisha.
 
Kipanga wa jf kama kawaida, Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…