matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Naomba namba tatu ibaki kuwa "Tendo la Ndoa" badala ya ngono1: Mavazi.
Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha.
2: Chakula.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi.
3: Ngono au Tendo la ndoa.
Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha. Usimpapase mpe ngono KWA kiwango cha kuzidi.
Haya ni mambo ambayo hupaswi kumpungukia mkeo KWA mujibu wa MAANDIKO matakatifu.
Kutoka 21:10
ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Tendo la ndoa = Ngono.Naomba namba tatu ibaki kuwa "Tendo la Ndoa" badala ya ngono
Linatisha! Anyway, ngoja nikubaliane na ukweli huo mchungu! Ahsante sana kwa ushauri!Tendo la ndoa = Ngono.
Ngono mara nyingi limetumika katika maana hasi ila ni neno zuri tu
Jamaa aliona mbaliThamani ya mke ni mavazi,
Kula vizuri kulala vizuri
Ndiyo siri ya kudumisha ndoa
Utaishi kwa raha amigo🎶
View: https://youtu.be/Kups018qEcM?si=alyaO-id0dmMsk97
Hii ni fact mkuuWanaume Wa ukweli wamekuelewa!
Kuna vitu nilikuwa nalegalega andiko hili ninafufua MOYO WA utekelezaji wa majukumu haya makubwa KWA mama mtumishi.Mtumishi matunduizi uko sahihi kabisa, Hilo andiko takatifu wanaume marijali tunalitekeleza kwa vitendo.
Uko sahihi.Mkuu namba moja usiiendekeze na usimshuri mtu kuhusu hilo, mavazi ya mwanamke daima huwa hayatoshi maana fashion mpya zinaibuka kila kukicha. Utafirisika
We Mbagar siku hizi ulibaki kusikitikia kila kitu😂Inasikitisha sana