Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Mi hata chakula nikose ila 🍆🍆🍆 iwepo 24/7Evelyn Salt njoo nikupe hayo matatu kama mleta mada anavyosema...
Mi hata chakula nikose ila 🍆🍆🍆 iwepo 24/7Evelyn Salt njoo nikupe hayo matatu kama mleta mada anavyosema...
Hakika umemshauri vizuri sanaMkuu namba moja usiiendekeze na usimshuri mtu kuhusu hilo, mavazi ya mwanamke daima huwa hayatoshi maana fashion mpya zinaibuka kila kukicha. Utafirisika
Hiyo ni shibe inakusumbua bila shibe ile kitu huwezi kumbuka!Mi hata chakula nikose ila 🍆🍆🍆 iwepo 24/7
We wasemaHiyo ni shibe inakusumbua bila shibe ile kitu huwezi kumbuka!
Mapepo pia yapo, hayapendi kuona mambo mazuri yanafanikiwaUtampa mpaka roho na bado atamfunulia chupi mtu mwengine kwa tamaa ya vitu vile vile ulivyompatia.
Njoo basi, sitavunja vigezo na masharti...Mi hata chakula nikose ila 🍆🍆🍆 iwepo 24/7
Una uwezo wa kukesha au unaita ita tu watu brazaNjoo basi, sitavunja vigezo na masharti...
Njoo tuone kama ninauwezo...Una uwezo wa kukesha au unaita ita tu watu braza
Sitaki majaribioNjoo tuone kama ninauwezo...
Hatujaribu kitu, tunafanya vitu alafu utasema...Sitaki majaribio
Hivyo ulivyo vitaja ndio vitu vya msingi anavyo hitaji mwanamke, labda kuongezea malazi na huduma nyingine za kiafya.1: Mavazi.
Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha.
2: Chakula.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi.
3: Ngono au Tendo la ndoa.
Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha. Usimpapase mpe ngono KWA kiwango cha kuzidi.
Haya ni mambo ambayo hupaswi kumpungukia mkeo KWA mujibu wa MAANDIKO matakatifu.
Kutoka 21:10
ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi