Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

Utampa mpaka roho na bado atamfunulia chupi mtu mwengine kwa tamaa ya vitu vile vile ulivyompatia.
 
Hivyo ulivyo vitaja ndio vitu vya msingi anavyo hitaji mwanamke, labda kuongezea malazi na huduma nyingine za kiafya.

Ila hawa wa siku hizi wanahitaji hela mchezo majina matatu,anataka vikoba,anamikopo, kila sherehe anataka achange/atunze/nguo mpya.Yaani vurugu tupu mpaka sasa washavurugwa,hawajui kipi ni basic needs kwao na kipi ni luxury needs, yaani tunapo elekea wanalazimisha luxury needs ziwe basics needs na husipo mpa ugomvi.
 
Wanaume acheni ubahiri kutwa kusifia wanawake wengine huko wamependeza ila nyie kuhudumia wake zenu akuuuuu...ubahili huo mbona kwa michepuko mnagharamia nywele za gharama,nguo classic viatu mitoko na suprise za kufa mtu ila kwa wake zenu mnaowaona kama madekio. Kuna watu baraka za wake zao watazionaga BBC tu.
Kuna mijanaume akijipinda sana hela ya kusuka katoa 20,hajui mkewe kama anahitaji nguo za ndani,viatu .kuvaa kupendeza haimuhusu.wanawake walio ndani ya ndoa wanatunza mengi mno kiujumla asilimia kubwa wanaume matunzo kwa wake zao ni ziro wanaoongoza ni wanaume wenye kipato cha kati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…