Hakikisha mwenye nyumba anakupa funguo zote. Nimemkuta ndani kwangu, ameingia bila ridhaa yangu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na wala hakushtuka. Mpaka sasa sijajua alikuwa ana lengo gani kwa kweli.

Bora hata kungekuwa na marekebisho mahali ila hakukuwa na chochote, yaani ni kama Mkulima ambaye ameenda kukagua shamba lake.

Hakikisha kwenye hiyo nyumba unayoenda kupanga, au umepanga unapewa funguo zako zote. Make sure anakupa kama ni tatu, ni tatu, zote au ubadilishe kitasa kabisa.

MWENYE NYUMBA.jpg
 
Wanasema mwenye bahati habahatiki hapo nakuambia kwanza ningemtishia Kuwaita watu niseme ni mwizi bila shaka angeomba tuzungumze .

Hapo masharti ni mawili tu ,viboko kumi bila kutikisika na mwaka mzima no kodi anatakubali basi inabaki siri yetu ila anakataa basi napiga kelele mwizi wa hela zangu amenasa ndani
 
Utajuaje/utahakikisha vipi kuwa amekupa zote?
 
Wanasema mwenye bahati habahatiki hapo nakuambia kwanza ningemtishia Kuwaita watu niseme ni mwizi bila shaka angeomba tuzungumze .

Hapo masharti ni mawili tu ,viboko kumi bila kutikisika na mwaka mzima no kodi anatakubali basi inabaki siri yetu ila anakataa basi napiga kelele mwizi wa hela zangu amenasa ndani
😂😂😂😂 nimecheka kifala sana
 
Wakuu!

Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na wala hakushtuka. Mpaka sasa sijajua alikuwa ana lengo gani kwa kweli.

Bora hata kungekuwa na marekebisho mahali ila hakukuwa na chochote, yaani ni kama Mkulima ambaye ameenda kukagua shamba lake.

Hakikisha kwenye hiyo nyumba unayoenda kupanga, au umepanga unapewa funguo zako zote. Make sure anakupa kama ni tatu, ni tatu, zote au ubadilishe kitasa kabisa.

Kama mwenye nyumba huyo ni mwanamke, kabla hajatoka ndani, hakikisha hili jambo halipiti hivi hivi.
 
Funguo utakaa nazo wewe mpangaji sawa ila nitakupa masharti ya kila mwezi lazima niikague nyumba ndani , maana huko kenya kuna jamaa wa taifa lingine walipanga nyumba, ndugu zao wakifariki walikuwa wanazika ndani na kuweka tiles upya.
 
Ungempiga miti tu.Yu bera wachi yo baki.Putin mamba 24.
 
Wakuu!

Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na wala hakushtuka. Mpaka sasa sijajua alikuwa ana lengo gani kwa kweli.

Bora hata kungekuwa na marekebisho mahali ila hakukuwa na chochote, yaani ni kama Mkulima ambaye ameenda kukagua shamba lake.

Hakikisha kwenye hiyo nyumba unayoenda kupanga, au umepanga unapewa funguo zako zote. Make sure anakupa kama ni tatu, ni tatu, zote au ubadilishe kitasa kabisa.

Kama mwenye nyumba huyo ni mwanamke, kabla hajatoka ndani, hakikisha hili jambo halipiti hivi hivi.
Hata kama ni mwanamme
 
Wakuu!

Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na wala hakushtuka. Mpaka sasa sijajua alikuwa ana lengo gani kwa kweli.

Bora hata kungekuwa na marekebisho mahali ila hakukuwa na chochote, yaani ni kama Mkulima ambaye ameenda kukagua shamba lake.

Hakikisha kwenye hiyo nyumba unayoenda kupanga, au umepanga unapewa funguo zako zote. Make sure anakupa kama ni tatu, ni tatu, zote au ubadilishe kitasa kabisa.

Sasa umekuja kutuuliza au kutuhadithia? Maana hapa ungetupa na majibu kwamba ulipomwuliza alisema yuko hapo kufanya nini?
 
Hakikisha kwenye hiyo nyumba unayoenda kupanga, au umepanga unapewa funguo zako zote. Make sure anakupa kama ni tatu, ni tatu, zote au ubadilishe kitasa kabisa.
Ishawahi nitokea hii narudi nakuta taa zote zimewashwa nikapigwa na mshangao kuuliza majibu niliyopewa ilibidi nitulie kwanza
 
Back
Top Bottom