Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,023
Mwenye nyumba hawezi kukupa funguo zote lazima atabaki na spare tu, cha kufanya ni kuwekeana mipaka, ingekuwa ni Mimi ningemchapa makofi mawili matatu halafu tuanze kudundana sitaki ujinga kwenye ngome yangu na hela iliyobaki ya Kodi utanipa Kwa lazima.